unaona sasa ndio mana nasema unapotaka kuzubgumizia mas ala aya utalii weka uchama pemben.lolote utalipinga madamu tu kafanya usiyempendaHahaha utalii wa mashamba ya miti
Mi5 tena.
Kauliza wamerogwa na Nani Sasa nimemwambia aliyemroga ni Mbowe , kwani wewe unamfahamu huyo Mbowe aliyemroga?Mbowe anaingiaje hapa?
Muwe serious kwenye mijadala serious!Kauliza wamerogwa na Nani Sasa nimemwambia aliyemroga ni Mbowe , kwani wewe unamfahamu huyo Mbowe aliyemroga?
Kuna mtu kachanganyikiwa sasa kaamua kuwachanganya na watendaji waandamizi wa serikali. Nchi imepoteza mwelekeo.Eti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.
Nafikiri hawa watu siku wakiondoka Duniani, wakazikwe Chato ili siku za mbeleni watakaokuwa bado wanaishi na wageni waende wakatalii huko kushuhudia mabaki ya watu wanafiki Duniani.Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?..
Tofautisha utulivu na amani, mbona mnaonyesha kupungukiwa akiri siku hizi?Eti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.
Kama Kenya wanasema karibu Kenya uone mlima Kilimanjaro, mimi nasema karibu Chato uone mbuga ya Serengeti, au nasema uongo ndugu zanguni...
Utter non sense...huyu mtu wa mpira ndo maana alifungiwa maisha !!Eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii 🤣 🤣 🤣
Kwa majengo au huduma?Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Kwa nini zisifutwe sasa hivi ushahidi wa madudu yao ukiwa bado moto.Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?....
Kwa hiyo watalii wanaijua Chato kuliko Kilimanjaro?! Chato imetangazwa lini duniani hata watalii wavutiwe nayo?Eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii
Chato the sillycon of Tanzania. Jiwe anafikiria kujenga uwanja wa ice hockey.Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
Hahahah na anasema.linafikika hata kwa njia ya maji, 😆😆 dah yajayo yanafurahisha sanaaEti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.