Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
683
1,000
Siyo Mara kwenye Serengeti?
unashindwa kuwa muelewa.sawa serenget,ni kivutio pekee dunian.ila unafikir mtalii huwa mda wote anaangalia wanyama?

anaposema wazir kafikia uamuzi kama huo based on criteria/vigezo.
familia za kitalii huja makund makund au mtu mmoja mmoja kulingana na bajeti ya muhusika,sio muda wote kuangalia masimba tuu,atataka na kufanya vingine,
kuna ziwa ambalo tyari uwepo wake ni kivutio tosha cha utalii wa Majini kwa kuanzia beach tourism,uvuaji samak wa watalii, safari za boat,.Pili kuna kisiwa cha Rubondo,hiki pekee ni kivutio tosha,pale ukifanyika uwekezaji kuanzia bandari ya Chato ambapo kungewekwa boti za kisasa na uwekezaji ukifqnyika ina maana kila wiki makund kwa makund ya watalii kwa kuanzia wa ndan watakua wanatembelea Rubondo,saa nyibgine watu wanakod boti kufanyq utalii wa kuvua sangara kwa kutumia ndoano maalum,ukija kwenye wanyama nao wapo sasa kwa nini kusipewe kipaumbelee??
utalii sio wamyama tuuuu,kuna utalii wa vyakula,utalii wa utamduni utalii wa kila kitu.ni wkaat sasa wa wizara husika kupainua kuwapa watalii machaguo .mlaji anachagua wap aensde ima kaskazain au kanda ya ziwa akaone utalii mchanganyiko. sekta ya utalii usiitizame katika angle ya wanyama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
683
1,000
Hahaha utalii wa mashamba ya miti

Mi5 tena.
unaona sasa ndio mana nasema unapotaka kuzubgumizia mas ala aya utalii weka uchama pemben.lolote utalipinga madamu tu kafanya usiyempenda
utalii wa miti ni eneo ambalo hatujalitilia mkazo,kwa nin nasema,huko maulaya wemamaliza kila kitu cha kisayans iliyobak nikuja kujionea aina mbalimbal za miti.unafikir tukiweka botanical garden nzuri ikawa na kila aina ya miti na tukaweka scientific name zake,aina za magonjwa zinazotibu,bidhaa zinazotokana na mti huo ikawa elim hatujapata???
unajua kama mjeruman posta aliweka botanical garden na akapanda kila aina ya mti?? emu achaga unazi wa kichama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
4,460
2,000
Kama Kenya wanasema karibu Kenya uone mlima Kilimanjaro, mimi nasema karibu Chato uone mbuga ya Serengeti, au nasema uongo ndugu zanguni...
 

Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,411
2,000
Eti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.
Kuna mtu kachanganyikiwa sasa kaamua kuwachanganya na watendaji waandamizi wa serikali. Nchi imepoteza mwelekeo.
 

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
409
1,000
Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?..
Nafikiri hawa watu siku wakiondoka Duniani, wakazikwe Chato ili siku za mbeleni watakaokuwa bado wanaishi na wageni waende wakatalii huko kushuhudia mabaki ya watu wanafiki Duniani.
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
2,488
2,000
Eti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.
Tofautisha utulivu na amani, mbona mnaonyesha kupungukiwa akiri siku hizi?
Sehemu tulivu ni sehemu isiyo na makerere ya kukufanya usijisikie vibaya,

Amani inaweza kuwapo lakini ukakosa utulivu mahara pale,
Kunaweza kuwa na makerere au kitu kinachokufanya ukose furaha lakini amani ipo.
Mjitambue basi.
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,552
2,000
Kama Kenya wanasema karibu Kenya uone mlima Kilimanjaro, mimi nasema karibu Chato uone mbuga ya Serengeti, au nasema uongo ndugu zanguni...

Tofauti ni kwamba ukiwa Amboseli Kenya, Mlima wa Kilimanjaro unaonekana clearly and besides makubaliano baina ya wakoloni wa kijerumani waliokuwa wanatawala Tanganyika na wakoloni wa Uingereza walio kuwa wanatawala Kenya kuhusu Mlima wa Kilimanjaro ambao enzi hizo ulikuwa nchini Kenya, walikubaliana kwamba wafanye marekebisho kwenye mipaka ili Mlima Kilimanjaro uchukuliwe na Tanganyika wakati huo huo Badari ya Mombasa ichukuliwe na Kenya.
.
 

Mafuluto

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,770
2,000
Eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii 🤣 🤣 🤣
Utter non sense...huyu mtu wa mpira ndo maana alifungiwa maisha !!
Sehemu zina world heritage status huyu anatuambia mahali kumejaa jongoo !!
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,558
2,000
Katika kuzurura kwangu twitter nikakutana retweet hii juu ya kushamiri kwa utalii hukooo Chato
Nikasema nilete hapa kwa wadau
Screenshot_20210114-004644.png
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,366
2,000
Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?....
Kwa nini zisifutwe sasa hivi ushahidi wa madudu yao ukiwa bado moto.
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,366
2,000
Eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii
Kwa hiyo watalii wanaijua Chato kuliko Kilimanjaro?! Chato imetangazwa lini duniani hata watalii wavutiwe nayo?
 

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,362
2,000
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi

Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.

Chato the sillycon of Tanzania. Jiwe anafikiria kujenga uwanja wa ice hockey.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom