Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Hata mbuyu ulianza kama uyoga!!

Serengeti, Ngorongoro, Mikumi na manyara hivi zilianzaje mkuu?
Before kuwa hifadhi za taifa. Zilikuwa hifadhi za misitu. Enzi za ukoloni. Baadhi zilipandishwa hadhi na mkoloni mwenyewe. Zimekuwa hapo muda mrefu.. na hizo ndio icon za tanzania.
Burig chato itachukua muda kuja kufikia level za kina serengeti ambao ni giants
 
Speed kubwa ya kila kitu Chato inawezekana hana mpango wa kubadili katiba hivyo miaka hii minne 4 asiwe na deni kwao.
 
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi

Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.

Tangazeni Chato iwe mji mkuu wa nchi tuelewe moja!!
 
Kwa nini zisifutwe sasa hivi ushahidi wa madudu yao ukiwa bado moto.
Utawala uliopo utawakingia. Kumbuka hata PhD ya Meko ya maganda ya korosho ni plagiarism ya mtu mwingine. Ben Saanane alifuatilia akauliwa.
 
Hana akili kabisa.

Hii nchi zaidi 85% ya watalii huwa wanakuja kwa ajili ya mbuga ya Serengeti tu, kisha Ngorongoro 5% na mbuga nyingine zote combined ndio wanachangia 10% halafu leo uje kuweka Chato kitovu cha utalii?

Sasa naona kwa kuwa Chato ndio kila kitu sasa, naomba tuwasaidie kupendekeza ni vitu gani vipelekwe Chato.

UDSM, IFM, UDOM, UN, World Bank, IMF, na taasisi zote kubwa naomba zihamie Chato ili tuifanye Chato kua "Calafonia" ya Afrika.

Chato kujengwe kituo kikubwa cha kijeshi, Chato waweke deport kubwa ya magari, Chato kujengwe viwanda vikubwa vya ndege, Boeing wajenge kiwanda Chato, Toyota ijenge kiwanda kikubwa cha magari. Muhimbili wahamie Chato.

Nashauri Dunia iitazame Chato kwa jicho la pekee sana.
Umesahau,chato yajengwe makao makuu ya kanisa katoliki,ili papa francis ahamie chato
 
Before kuwa hifadhi za taifa. Zilikuwa hifadhi za misitu. Enzi za ukoloni. Baadhi zilipandishwa hadhi na mkoloni mwenyewe. Zimekuwa hapo muda mrefu.. na hizo ndio icon za tanzania.
Burig chato itachukua muda kuja kufikia level za kina serengeti ambao ni giants
Acha uongo,hizo mbuga ni za asili wala hazikuwahi kuhamishiwa wanyama kwenda kuanza maisha!
 
Tofautisha utulivu na amani, mbona mnaonyesha kupungukiwa akiri siku hizi?
Sehemu tulivu ni sehemu isiyo na makerere ya kukufanya usijisikie vibaya,

Amani inaweza kuwapo lakini ukakosa utulivu mahara pale,
Kunaweza kuwa na makerere au kitu kinachokufanya ukose furaha lakini amani ipo.
Mjitambue basi.
Mimi kijijini kwetu ni tulivu kwa sababu hakuna kelele za magari kupita mara kwa mara na kuna mwambao wa ziwa victoria, kwa hiyo na penyewe pafanywe makao makuu ya kanda ya kitovu cha utalii?
 
Mimi kijijini kwetu ni tulivu kwa sababu hakuna kelele za magari kupita mara kwa mara na kuna mwambao wa ziwa victoria, kwa hiyo na penyewe pafanywe makao makuu ya kanda ya kitovu cha utalii?
Halafu Chato ikiwa jiji,huo utulivu bado utakuwepo?
 
Yaani siamini nachokisoma, sijui tulilogwa na nani, mtu mzima na akili zake anasema kuna utalii wa maji! Mbona yapo dunia nzima?

Huyo alietuloga sasa hivi amekaa mahali anatucheka kweli.
...😀😀😀 Aisee nchi itanyooka kweli kweli kama maji kutulia nacho ni kivutio!!
 
Bado kuandika historia ya Jiwe na maajabu saba yaliyotokea siku aliyozaliwa, halafu kufanya kituo feki cha utalii wa kwenda kuangalia alipozaliwa Jiwe.

Watapiga hela ndefu.

Watu wataenda kuhiji kijijini kwa mtume mtukufu Jiwe kama Mecca.
 
Back
Top Bottom