julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 2,598
- 3,392
unaona sasa ndio mana nasema unapotaka kuzubgumizia mas ala aya utalii weka uchama pemben.lolote utalipinga madamu tu kafanya usiyempendaHahaha utalii wa mashamba ya miti
Mi5 tena.
utalii wa miti ni eneo ambalo hatujalitilia mkazo,kwa nin nasema,huko maulaya wemamaliza kila kitu cha kisayans iliyobak nikuja kujionea aina mbalimbal za miti.unafikir tukiweka botanical garden nzuri ikawa na kila aina ya miti na tukaweka scientific name zake,aina za magonjwa zinazotibu,bidhaa zinazotokana na mti huo ikawa elim hatujapata???
unajua kama mjeruman posta aliweka botanical garden na akapanda kila aina ya mti?? emu achaga unazi wa kichama
Sent using Jamii Forums mobile app