Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,520
- 764
Wanajamii, hii imekaaje?
Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja.
Yaani kuanzia saa tisa usiku hadi saa tano usiku. Wakati mwingine bila ratiba! Jamani hizi private schools zina nguvu kubwa hivo? Hivi kitaaluma inakubalika kweli?