Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 8,302
- 19,211
Au siyo.Bado wewe na mapanya wenzako mliobakia
Au siyo.Bado wewe na mapanya wenzako mliobakia
Umeweka sawa, Mambo ya kumbukizi yabaki kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,kwa maana yana gharama kubwa.Ikija kutokea kwa Hangaya tutakuwa tena Hangaya day kwakuwa ni Rais Mwanamke.
Haya mambo yakumbukizi yabaki kwa Nyerere tu.wanaofuata familia ziwe zinapewa hela kidogo kusafishia makaburi.Tukio la kesho linakula hela mingi sana
Kwa kitu gani iwe mkoa,pato lenyewe la tabu yani tiamaji tiamaji,heri chato irudi mkoa wa kagera tu waendeleze kupiga katereroKuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).
Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.
Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa Day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
-Chato haijakidhi vigezo vya kuwa Mkoa.
-Kuna clip moja niliiona Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Kagera,na viongozi wa dini wa Mkoa wa Kagera wanapinga pendekezo la RDC ya Mkoa wa Geita kumega eneo la mkoa wa Kagera na kigoma kupelekwa kwenye mkoa pendekezwa wa chato.
-Wazee hao walihoji,iweke uongozi wa Mkoa Geita,uingilie au ufanye maamuzi ya Mkoa Kagera na kigoma,bila ridhaa ya mikoa husika.
-Walisema RDC ya Mkoa wa Geita haina Mamlaka ya kuwaamulia wananchi wa Kagera au Kigoma.
-Walienda mbali kwa kusema,mkoa wa Geita,unaweza kuhamisha makao makuu yake kutoka Geita na kupelekwa Chato kama Kuna ulazima.
Maoni
-Rais SSH amefanya vizuri leo 17/3/2022 kutogusia suala la Chato kuwa Mkoa.
-Rais endeleza mazuri yote ya mtangulizi wako,kama yapo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM na kama yana tija.
-Ninaamini suala la Chato kuwa Mkoa halipo kwenye election Manifesto,bali yalikuwa maneno ya utani tu, ya mtangulizi wako .
-alikuwa anataniana na wananchi wa chato,kwa kuwa ameitoa Chato toka ngazi ya kijiji mpaka Wilaya, ndiyo akawatania kuwa , kuna siku Chato itakuwa Mkoa.
-Kazi iendelee.
Itakusaidia nini ?.Tuelezwe: Magufuli alifariki au aliuwawa?
Bringing the perpetrators to justice.Itakusaidia nini ?.
Bringing the perpetrators to justice.
Kuna kilichotokea? Mkoa au .....day? Hii ndiyo Dunia, hakuna cha regacy wala legacy! Mebe kwa mbere! Au nasema uwongo ndugu zangu? MATAGA twendeni Malawi, bongo hawajui umuhimu wa shule ya uongozi🤣🤣🤣. Daaah! Mambo ni mengi mda mchache. All in all, ahsante sana Rais SSH umekuwa uki-size washenzi kimyakimya!Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).
Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.
Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa Day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
Amekuua?Yeye Kaua wangapi ?.
Huko Lumumba woote mna fikra sawa?I second this, mfano mzuri ni jinsi hawa ndugu zangu wanavyokinzana kauli nadhani tumeshuhudia Mwenyekitu na Makamu Mwenyekiti wakipishana kauli baada ya Mbowe kwenda jengo jeupe.
Ndugu zetu hawa hawana umoja kila mtu ana ama amini katika fikra zake, na si katiba ya chama.
Endeleza ndoto 😅Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).