Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,493
54,900
Salaam Wakuu

Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato.

Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli

4E4CFFC0-98E8-4F45-BFF7-F21E8B814299-780x405.jpeg

Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni 17.03.2021 kutokana na maradhi ya moyo katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa Uganda Yoweri Museveni alituma salamu za rambirambi huku akisema Rais Magufuli alikuwa kiongozi ambaye anaongoza kwa uhalisia na aliyeamini katika kukuza uchumi wa Afrika Mashariki. "Tunajumuika na Watanzania kuomboleza kifo cha mtoto wa Afrika". Museveni
20211129_180915.jpg
20211129_180913.jpg
 
Back
Top Bottom