ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

Mbona kama umechangangikiwa?
 
Niliwambia kua kwa kuwa amefundishwa mamilioni ya vitabu na makala mbalimbali,,hivyo anaongea au kukujibu tokana na we unavyokuja,,anakusoma kisaikolojia na kujua akuweke upande unaopenda wewe.
Wewe tangu uanze kuchat naye amewahi kukushawishi utukane au ulipe kisasi? Kama sio, ni wazi amefundishwa zaidi maadili ya Biblia yanayozingatiwa na walokole
 
Huna dhambi wewe? Yesu akija leo una uhakika utaenda mbinguni?
 
Nimeshasikia sana ili sijui watu wanatamani kwenda huko kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…