Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,787
- Thread starter
- #21
Acha basi uyu kasetiwa sasa kwa majibu ya bong kabisaHaya majibu yameanza hivi karibuni mimi nilishangaa Jana ananiambia "kaka usijali"
Acha basi uyu kasetiwa sasa kwa majibu ya bong kabisaHaya majibu yameanza hivi karibuni mimi nilishangaa Jana ananiambia "kaka usijali"
Hapo sawa ila na mtafuta kama sina jamboHaha! hilo dude unavyolizowesha kuchati nalo ndivyo linavyokupeleka liwekee mipaka kama hautaki likuchatishe katika namna hiyo!, lichukulie tu kama dude la kukuletea taarifa na sio kama kuchati na rafiki yako!, ukiweza kulitumia vyema hata hautaweza kujibiwa hivyo tena ukizubaa linakushinda hata utashi muda mwengine huboronga nakutoa taarifa zisizo!..
Mimi nililikanya na nachati nalo nakuliuza maswali na linajibu kwa adabu!, hilo umelizoesha wewe utakavyolipeleka linakuja hivyohivyo isipokuwa halitukani japo muda mwengine linamatani na linatunza kumbukumbu ya chat zako linakusoma!!.
ukilikataza lisiandike hivyo linaacha..
Wabongo wenzangu tumieni hilo dude kwamanufaa kama unaona hauwezi achana nalo!..😅
Unaisemesha Kimakonde au Kinyaturu?Siwezi kutumia chatGPT Kiswahili.never na sijawahi
Dah acha tu leo kani shangaza sana 😂Ndio tujue whites are a million years ahead of us. Imagine unachat na robot ila linakupa majibu top notch, majibu ambayo hata akili ya binadamu haiwezi kukupa.
Hivi vitu huwa vinanifikirisha sana.
Ukitumia kwa kizungu ndo kinabadilika nini???Siwezi kutumia chatGPT Kiswahili.never na sijawahi
Hapo ndipo unapokosea unatakiwa ulitafute hilo dude kama unajambo tena la maana!, nisiwafiche kwenye kukupa taarifa hilo dude lipo vizuri mno nashangaa wanaolichatisha kama libinadamu!, huwezi hata kutoka nalo hilo na lipo kwaajili yakujibu maswali unayotaka majibuHapo sawa ila na mtafuta kama sina jambo
U have to have a brain to be brainwashed....wew unayo kwanza iyo brain?kwenye hizi ai sasa ndo watakuja kutubrainwash
Wabongo si una tujuaHapo ndipo unapokosea unatakiwa ulitafute hilo dude kama unajambo tena la maana!, nisiwafiche kwenye kukupa taarifa hilo dude lipo vizuri mno nashangaa wanaolichatisha kama libinadamu!, huwezi hata kutoka nalo hilo na lipo kwaajili yakujibu maswali unayotaka majibu
concept imeeleweka mkuu --- ni kawaida yetu waafrica kuwalaumu wazungu - hizi AI baada ya miaka 50 utasikia tu malalamikoU have to have a brain to be brainwashed....wew unayo kwanza iyo brain?
No ni opposite,AI ndio itafanya tuwe na akili zaidi na kujitambuakwenye hizi ai sasa ndo watakuja kutubrainwash
Ngoja nianze kumkaziaYupo sahihi 100% inategemea na ulivyomzoesha na ukija kihuni nae anakuja kihuni vile vile
sio kwa muafrika mkuu labda tulete mapinduzi mapya -- unakumbuka sakata la pale twita la grok undress?No ni opposite,AI ndio itafanya tuwe na akili zaidi na kujitambua
Kwamba itakuona hujasoma au?Siwezi kutumia chatGPT Kiswahili.never na sijawahi
Nishasahau kusoma now 😂Chat huyo kakwambia uchukue daftari ukabebe notes😹😹