Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 900
- 803
Hahahaha! Aisee..Ukitaka ikushangaze zaidi iambie njoo geto " itakwambia haina nauli"
Hahahaha! Aisee..Ukitaka ikushangaze zaidi iambie njoo geto " itakwambia haina nauli"
AI sio poa kabisaAlooo sio poa 😃
Hahhaa dah kudadekMimi juzi nilimkuta binti yangu anachat na chatgtp anamuuliza why is my kom so angry sometimes,
Nilisoma baadhi ya majibu, jibu moja chatgtpt akamwambia may be your mom is on her period
Zipo nyingi tu mkuu kwani Alexa ni nani? Au SiriIje AI ya sauti sasa. Mabibi na mababu zetu wavivu wa kusoma wafaidi nao.
Unaiuliza kwa kuongea, inakujibu kwa kuongea.
Unavyokosea kuandika chatgpt unageuza kuwa chatgtp inanifurahisha, unafanana na mtu fulani alikuwa na yeye anakosea spelling kwenye issues fulani, anyway namuombea amani huko alipo.Aliniomba simu ampigie classmate wake, alikua amesahau kitabu shuleni kwa hiyo alikua anawasiliana na wenzake wampigie picha page za homework, sasa nikamsema sana nikataka kumzibua kwamba kwa nini amesahau kitabu shuleni, then nikapa simu, ndio nikakuta anamuuliza chatgtp kwa nini mama ana hasira sana
Siku nyingine nikakuta anamuuliza eti niende shule gani form one?
Hivi kumbe nakosea, akijua nakose atanichamba maana sikuhizi wamesema amekua mswahili wa mbagalaUnavyokosea kuandika chatgpt unageuza kuwa chatgtp inanifurahisha, unafanana na mtu fulani alikuwa na yeye anakosea spelling kwenye issues fulani, anyway namuombea amani huko alipo.
Kwa mtogoreHio itakua chat gpt ya tandale
Yaani ni inatokea tu, kuna watu huwa wako hivyo mama.Hivi kumbe nakosea, akijua nakose atanichamba maana sikuhizi wamesema amekua mswahili wa mbagala
Sina habari kabisa kama kuna AIs za voiceZipo nyingi tu mkuu kwani Alexa ni nani? Au Siri
Aysee zipo kibao tu na wengine wamezifunga ndani, yaani akifika tu anaita na kuipa maeleke,oSina habari kabisa kama kuna AIs za voice
😂😂😂😂 Aisee mwachi kayakanyaga sasaChat huyo kakwambia uchukue daftari ukabebe notes😹😹
Vibay ase😂😂😂😂 Aisee mwachi kayakanyaga sasa