Membensamba
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 157
- 10
Kutokana na Makamba na Chatanda kufanikiwa kuonesha dunia hali halisi ya ccm kuhusu uozo wake, na umahiri wa chadema, kwa matamshi yao mbalimbali, kuna uwezekano mkubwa uongozi wa cdm kuwazawadia tuzo ya mwaka, ya wanasiasa bora.
Nashauri wanajf muwarahisishie viongozi wa cdm kazi ya kuorodhesha kauli murua za Makamba na M. Chatanda. Ya kwanza labda ni ile aliyotoa wakati wa mchakato wa kura ya maoni kuwa "kila mgombea wa ccm ametoa rushwa, tofauti ni kiwango tu." Endelea na listi tafadhali.
KATIBU wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amesema anaheshimu maoni ya aliyekuwa Makamu Mwenyeki wa CCM, John Malecela, lakini anaamini alichokisema kuhusu maaskofu kuvua majoho kama wanataka kuingilia siasa ni sahihi.
Akizungumza jijini hapa jana, Chatanda alisema kauli aliyotoa kuhusu maaskofu kuwa wavue majoho na kuingia siasa, kutokana na kutoa kauli ya kutomtambua Meya wa Arusha, Gaudence Lyimo, inabaki imesimama haina makosa.
Chatanda alisema kabla ya maaskofu kutoa maoni yao, walipaswa kuwaita viongozi wa vyama vya siasa na kujua ukweli badala ya kutoa maamuzi yao.
"Namheshimu sana mzee Malecela, lakini yale ni maoni yake... mimi nilichokizungumza kinabki kimesimama," alisema Chatanda.
Hata hivyo, Chatanda alilaumu vyombo vya habari kwa kulikuza suala la kuwataka maaskofu kuvua majoho, hali ya kuwa alizungumza mengi kuhusiana na mgogoro wa Arusha.
Kama kweli Chatanda anamheshimu sana mheshimiwa Mzee wetu Malecela basi si afuate ushauri wake wenye nasaha kibao...............kuomba msamaha ni kuonyesha umahiri na utashi wa kisiasa dada yangu........................................
majanikv naomba issue isiwe elimu yake bali ni hulka binafsi. Wako ma graduate wanatema pumba huku kuna mababu zetu hata darasa hawalijui lakini busara.Nahisi sophia simba na hawa ghasia wamepata mrithi hebu wadau mwageni elimu ya huyu mary chatanda maana ananichefua baada ya hapo ndo tutaanza kumjadili
majanikv naomba issue isiwe elimu yake bali ni hulka binafsi. Wako ma graduate wanatema pumba huku kuna mababu zetu hata darasa hawalijui lakini busara.
Mkuu achaneni na huyu vuvuzela msimfanye main topic hapa jf atajiona celeb,
BA (Ulopokaji)
MA (umalaya)
PhD (unafiki na uchonganishi-specialization:-mauaji)
Prof.... bado haja publish vya kutosha!!!!