KWANI UMESIKIA jASUSI ANACHAGUA KUWA DIWANI AU MBUNGE???YEYE TAYARI NI JASUSI NA ANAKULA KUTOKANA NA UJASUSI HAYAO YA UDIWANI NA UKUU WA NYUMBA KUMI HAUMUHUSU SANA YEYE KAZI YAKE INAMLISHA,FUNGUA UBONGO KWANI JOHN GARANG NI NANI ?YULE ALIYEMUUA CHACHA WANGWE ALIKUWA NANI KWENYE JAMII SI TAKATAKA TUU KWA ZUHURA AKBARI HAJI?
WA WAPI WEWE?? EMBU USIJE MJINI UTALETA SHIDA HAPA.
Jasusi gani anakuwa na mambo ya kijinga hivyo, Unataka kuniambia na kisomo chake hicho anakuja lilia udiwani wa kulazimisha huko Arusha? basi atakuwa ni punguani huyo dada ni juha nae.
Kwa mwana siasa makini hawezi kuja lazimishia huo udiwani wa kutaka kupiga kura kwani yeye sasa anatakiwa piga kura Tanga sasa CCM watuambie kama Chitanda ana haki kikatiba kupiga hiyo kura ya kumchagua diwani.
Yeye hapo alipo ni mbuge sidhani anahaki tena kuwa Katibu wa CCm huko Arusha, eg Dar mpaka sasa sijui kama ina mkuu wa mkoa na Lukuvi ndio kisha kuwa waziri je anastahili kuja kujibu hijo pale oficen kwa mkuu wa mkoa? nini maana ya ukaimu wa cheo fulani? CCM wasitake kuwafanya wana CCM wengini ni mapunguani wanachokifanya hao viongozi wa juu ndani ya CCM wasijifanye wao ndo wenye chama hicho wanaharibu kabisa kwa wale wano kipenda na kukifanya watu wakikimbie sababu ya maozo yao kama haya ya akina jasusi Chitanda
Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia
jamani naombeni tu picha ya huyu mama/ baba mary chatanda kama ipo wadau plz am desperate!!!!
siyo chakula..........
chakura.
Polisi,
Unaweza kutumia vifungu hivi ambavyo viko kwenye taarifa ya katibu ya bunge baada ya kuombwa ufafanuzi.
Kulikuwa na madai mawili Arusha. CCM walikuwa wanapinga mama wa viti maalum CHADEMA asipige kura kuchagua meya kwasababu alikuwa hajaapishwa bungeni. Nafikiri ni wale mama walioteuliwa mwisho wakati bunge linafungwa. CHADEMA wao walikuwa wanampinga Chatanda kwamba ni mbunge viti maalum Tanga.
Madai yote mawili yalitupwa. Mbunge kama hajaapishwa haruhusiwi kushiriki majadiliano bungeni lakini anaruhusiwa kutimiza majukumu yake mengine yote kama mbunge. Hivyo alikuwa na sifa ya kushiriki kuchagua meya. Hivyo hivyo hilo dai la Chadema nalo likatupwa kwa sababu ambazo nimezieleza hapo juu.
Taarifa yenyewe ni kama hapa chini:
Naibu Katibu wa Bunge Bw. Eliakim P. M. Mrema alitoa ufafanuzi kwa barua yake Kumb. Na. CEB.77/155/01/79 ya Desemba 17, 2010, akiarifu kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23 na 30(4) ya Kanuni za Bunge (2007); Ibara ya 59(1) na 66(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; kifungu cha 44, 81 na 86A(6) cha Sheria ya Taifa ya uchaguzi Sura ya 343 na kifungu cha 24(1)(d) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) sura ya 288 na Sheria Na.13 ya mwaka 2006, wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao Halmashauri ya Manispaa ya Arusha.
maelezo mazuri sana. Hivi ndo inabidi tujibizane kwa ufahamu wa kanuni, mazoea n.k. Katika maelezo umesema sheria inaruhusu mbunge wa VM kuchagua halmashauri ya kutumikia, ni sheria gani hiyo mkuu?
cha mkeo tunakinyonya tuu hapa muuulize anajisikiaje?????kinyesi!
Mary Chitanda kiboko, ha ha ha haaaaaa.
Kama nawaona vile hao waandishi wa habari wanavyotimua mbio baada ya kutimuliwa. hahahaaaaaa. Waandishi wa habari.
Mimi wa hapahapa mjini tena naujua mji kupita wewe pengine mmezidi kutengeneza conspiracy theory zisizo na msingi just kujenga chuki kwa watu msiowapenda. Wewe unawajua majasusi au unawasikia? Hebu tuondolee thread za kijinga kama hizi lete vitu vya maana otherwise kama unadata za maana ndio tudiscuss venginevyo naona kama mnamuandama dada asiye nahatia tu.
ni chakula ya nani mbona jeuri hivi?
Huyu mama kachanganyikiwa kwa sababu jimbo la arusha mjini limepotea chini ya uongozi wake.
Mkulima said:Taarifa yenyewe ni kama hapa chini:
Naibu Katibu wa Bunge Bw. Eliakim P. M. Mrema alitoa ufafanuzi kwa barua yake Kumb. Na. CEB.77/155/01/79 ya Desemba 17, 2010, akiarifu kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23 na 30(4) ya Kanuni za Bunge (2007); Ibara ya 59(1) na 66(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; kifungu cha 44, 81 na 86A(6) cha Sheria ya Taifa ya uchaguzi Sura ya 343 na kifungu cha 24(1)(d) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) sura ya 288 na Sheria Na.13 ya mwaka 2006, wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao – Halmashauri ya Manispaa ya Arusha
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Chitanda ni mbunge Halali wa Halmashauri ya Tanga sasa anatafuta nini huko Arusha??? au
Ana laana binti huyu