LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Habari ya leo wanajukwaa wenzangu..........bila shaka wote wale waliona afya njema na hata wale wenye homa ya hapa na pale tumshukuru Mungu!
Habari nilizona za uhakika ni kwamba member mwenzetu Mama Joe anaumwa malaria tangu juzi na tumtakie kheri mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema amponye mapema arudi kwenye afya njema mwenzetu!
Niliongea naye jana ila kwa kweli alikuwa anaumwa hakika ameniambia hakuweza hata kuingia kwenye mtandao tangu ile juzi.
MWENYENZI MUNGU MWINGI WA REHEMA AMPE NGUVU NA APONE MAPEMA NA ARUDIE KATIKA AFYA YAKE YA KAWAIDA.

Last edited by a moderator: