Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Nami mjasiriamali mchanga Nitahudhuria jamaani. Avatar Yangu ni Kig. napatikana Iringa Mjini. Tafadhali mama Joe ongeza jina langu kwenye orodha ya watakaohudhuria
 
Asanter karibu sana ninakuweka mkuu. Tuko pamoja
Nami mjasiriamali mchanga Nitahudhuria jamaani. Avatar Yangu ni Kig. napatikana Iringa Mjini. Tafadhali mama Joe ongeza jina langu kwenye orodha ya watakaohudhuria
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Nimempa maelezo kwa pm toka jana namalizia kuweka vizuri agenda. Watu wameishatoa michango baadhi bado wameomba wiki hii, tujitaidi japo tarehe mbaya jnne tukamilishe michango wa mbali wajiandae kwa safari. Nawatakia wkend njema

Agenda ni zipi? Mama Joe
 
Last edited by a moderator:
Nimempa maelezo kwa pm toka jana namalizia kuweka vizuri agenda. Watu wameishatoa michango baadhi bado wameomba wiki hii, tujitaidi japo tarehe mbaya jnne tukamilishe michango wa mbali wajiandae kwa safari. Nawatakia wkend njema

Wakina Invisible watakuwepo? Tehe tehe,
 
Last edited by a moderator:
Of coz kuna specific objective inawahusu lakini pia kwenye vote of thanks wamewekwa maana wao ndio link iliyotukutanisha. Ila nahofia kama wanakubali kuhudhuria personally si unajua ni invisible?

Heheee watakuwa humo humo bila kuwaona. Agenda nimeianda, nimejaribu kulipanga wazo na malengo vizuri ila nahitaji muipitie ndo niweke hapa au niweke tuchangie wote tu? Naweza zipost zote kesho au leo usiku
Wakina Invisible watakuwepo? Tehe tehe,
 
Last edited by a moderator:
JF Entrepreneurships Meeting in Dar es salaam, 7 February 2015
Vision: To enable us prosper and sustain our businesses by having clear visions, innovations, strategy, finance and good leadership. But as we know, Entrepreneurship can't exist without the entrepreneurs network we depend to each other so as to do market research, pressing the government for our rights like banning of importing locally produced goods, permission to export our produce in surplus, subsidized loans, machines and fertilizers., information on weather forecast, good seeds and technical support to implement new technology.

Mission: To survive in harsh economic condition and stiff competition locally and neighbouring countries, we need to form clubs that will together with the above share information on the market trend, new technologies as well as form unions that can enable starting of partnerships, small microfinance and trade unions that can represent our needs to the Government.

Goals and objectives: overall is to form a network of entrepreneurship starting in our Regions and later nationwide to share information on new market trends, new technologies, create microfinances, fight for our rights for subsidies in capital, importing machines, fertilizers and banning of locally produce as well as permission to export our produce in surplus.

Specific objectives
1. Create a network of entrepreneurships in our areas and Nationwide, select leaders for each region and countrywide, create a some sort of Constitution for the network to use.

2. Share information on the market trends as well as try to monopolise the market in our areas and Nationwide by outsourcing by creating our own brand of produce

3. Share new technologies in production methods like new tools, seeds or breeds to enable good and reliable productions in our businesses
4. Where possible support each other by buying and selling goods between members.

5. Prepare regular meeting to enable our clubs be active by recruiting new members as well as removing dormant ones.

6. Prepare annual trips to other production sites or farms within our Regions, Nation or countries for members to get new technologies and share experiences as well as create new markets for our produce

7. Were possible, ask for the modernization and and a more user friendly Ujasiriamali forum with all resembling topics or questions grouped into respective threads to enable easy of browsing also the recognition of authorized and verified companies to do buy and sell using JF.
 
Agenda
1. 8.00am – 8.30am Introductions and welcoming remarks by hosts Madinimadini and Dolevaby
2. 8.30am – 8.45am Moment of thanks LiverpoolFC
3. 9.00am – 9.30am Group vision, mission goals and objective Chasha and Bluetooth
4. 9.30am – 10.20am Group presentation animal husbandry new technologies, challenges and way forward Chasha and Kubota
5. 10.20am – 10.45am Tea break and more introduction for late comers Idea

6. 11.00am – 11.45am Group presentation Crop production and forestry Maundumula
7. 12.00pm – 13.45pm Group presentation Manufacturing and food processing Bluetooth
8. 13.00pm – 13.45pm Lunch time, business cards and brochure sharing Muinjilisti
9. 14.00pm – 14.45pm Consultancy Bluetooth, mama Joe, Gubas or Kig
10. 15.00pm – 15.30pm Any other Other issues, resolutions, deliberations and way forward Chasha and Madinimadini
11. 16.00pm – 16.45pm Closing remarks and closure Gubas
 
Wadau nimejaribu kuweka outline but everything is flexible pia tunaweza igeuza kiswahili naona muda sina naomba muipitie kila mtu aongezee na kukosoa hadi ijumaa tufikie conclusion.

Hizo presentation sio lazima uwe deep na pia kama hakuna anayefanya hiyo shughuli kabisa miongoni mwetu twaweza kuziacha na kuweka topic mpya au kukazia zilizopo kwa kuzipa muda zaidi. Pamoja na hii kila mdau tutakuwa na form maalum atajaza aina ya bidhaa, mazao au shughuli anayofanya, wapi na kwa ukubwa gani na endapo anapenda kufanya partnership, outsourcing nk.

Hii ni ktk kujitaidi kushare masoko, malighafi na kwa wataopenda partnership na wale wenye ujuzi consultation. Asanteni na jumapili njema
 
Wadau nimejaribu kuweka outline but everything is flexible pia tunaweza igeuza kiswahili naona muda sina naomba muipitie kila mtu aongezee na kukosoa hadi ijumaa tufikie conclusion. Hizo presentation sio lazima uwe deep na pia kama hakuna anayefanya hiyo shughuli kabisa miongoni mwetu twaweza kuziacha na kuweka topic mpya au kukazia zilizopo kwa kuzipa muda zaidi. Pamoja na hii kila mdau tutakuwa na form maalum atajaza aina ya bidhaa, mazao au shughuli anayofanya, wapi na kwa ukubwa gani na endapo anapenda kufanya partnership, outsourcing nk. Hii ni ktk kujitaidi kushare masoko, malighafi na kwa wataopenda partnership na wale wenye ujuzi consultation. Asanteni na jumapili njema

Mama Joe......tunakushukuru sana mpk hapa ulipofikia jamani,hakika hapa tutafikia malengo yetu itakayokuwa na historia nzuri hakika......hapo juu sijaona pa kukwaruza sana labda tu lugha.
Kwa kweli nafsini mwangu nimefarijika sana tena na katika hili mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema awe mwalimu wetu mwanzo mwisho.

Mama Joe......BARIKIWA SANA MPENDWA WETU!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Na mpaka hivi sasa kutokuonekana kwa post ya member mwenzetu @kutoba siyo kwamba hatuko naye.....kwa kweli alikuwa safarini ila Mwenyenzi Mungu amemwezesha ameenda na kufika salaama na kurudi salaama salimin na ameniahakiki ya kwamba Mungu akitujalia hakika atakuwa nasi bega kwa bega.
Anawasalimu sana wana jukwaa!!!!

Mama Joe yuko wapi Mama timmy????

GAZETI uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mama Joe .... Kazi nzuri sana .... all in all tutakapokutana siku hiyo tutaweka sawa haya yote uliyoanzisha in a formal framework

ahsante
 
Last edited by a moderator:
Amina asante mpendwa tuombeane uzima tu, wiki ndo. Kila mtu ajiandae ili tukikutana tuwe na kuongezea na kupunguza, lugha sio issue hamna wazungu hapa ni kiswahili ila kwa kuandika ningechanganya lugha haingependeza. Barikiweni
Mama Joe......tunakushukuru sana mpk hapa ulipofikia jamani,hakika hapa tutafikia malengo yetu itakayokuwa na historia nzuri hakika......hapo juu sijaona pa kukwaruza sana labda tu lugha.
Kwa kweli nafsini mwangu nimefarijika sana tena na katika hili mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema awe mwalimu wetu mwanzo mwisho.

Mama Joe......BARIKIWA SANA MPENDWA WETU!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu wazo limebaki lile lile la Chasha, mengine tutaongea vizuri kwenye meeting.
Mama Joe .... Kazi nzuri sana .... all in all tutakapokutana siku hiyo tutaweka sawa haya yote uliyoanzisha in a formal framework

ahsante
 
Last edited by a moderator:
Hao wawili sijui wako wapi kwakweli kimya sana tutashukuru wakipatikana na Kubota pia, Malila yeye hatakuwa Dar ila tunatumaini next time tutakuwa naye au tutamtembelea kama darasa.
Na mpaka hivi sasa kutokuonekana kwa post ya member mwenzetu @kutoba siyo kwamba hatuko naye.....kwa kweli alikuwa safarini ila Mwenyenzi Mungu amemwezesha ameenda na kufika salaama na kurudi salaama salimin na ameniahakiki ya kwamba Mungu akitujalia hakika atakuwa nasi bega kwa bega.
Anawasalimu sana wana jukwaa!!!!

Mama Joe yuko wapi Mama timmy????

GAZETI uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hao wawili sijui wako wapi kwakweli kimya sana tutashukuru wakipatikana na Kubota pia, Malila yeye hatakuwa Dar ila tunatumaini next time tutakuwa naye au tutamtembelea kama darasa.

Naaam! Hakika Kubota tutakuwa naye!!!!
 
Last edited by a moderator:
Agenda
1. 8.00am – 8.30am Introductions and welcoming remarks by hosts Madinimadini and Dolevaby
2. 8.30am – 8.45am Moment of thanks LiverpoolFC
3. 9.00am – 9.30am Group vision, mission goals and objective Chasha and Bluetooth
4. 9.30am – 10.20am Group presentation animal husbandry new technologies, challenges and way forward Chasha and Kubota
5. 10.20am – 10.45am Tea break and more introduction for late comers Idea

6. 11.00am – 11.45am Group presentation Crop production and forestry Maundumula
7. 12.00pm – 13.45pm Group presentation Manufacturing and food processing Bluetooth
8. 13.00pm – 13.45pm Lunch time, business cards and brochure sharing Muinjilisti
9. 14.00pm – 14.45pm Consultancy Bluetooth, mama Joe, Gubas or Kig
10. 15.00pm – 15.30pm Any other Other issues, resolutions, deliberations and way forward Chasha and Madinimadini
11. 16.00pm – 16.45pm Closing remarks and closure Gubas
Mama Joe mimi nina maoni hapo, kwa kweli Muda hautatosha hayo yote Unless kama tutakaa Siku mbili, Ushauri wangu ni huu hapa,

Ishu kubwa ni kufahamiana na baada ya hapo nazani tuangalie in general maswala ya ujasiraimali, kwa sabbau ukisema watu waanze kueleza nini maana na misitu au misitu inapandwa vipi ni kupoteza muda, na hata ishu za mifugo huwezi anza kueleza kwamba banda linatakiwa liwe hivi,

NINI KIFANYIKE?

Baada ya ufunguzi wadau wanaweza leta hoja, na hapo kuwepoi na hoja nyingi,na ziwe ni katika mazungumzoa ya watu wote, Mfano mimi naweza anzisha maada ya ufugaji wa kuku. Hapo sasa kila mtu anaweza toa maoni yake, kwa sababu time haitatosha na kwa Dar kuanza itatuwa saa nne
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom