Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Habari za leo wadau? Naunga mkono hoja ya kuwa venue iwe Dar. Ikiwa Dar ninaweza kushawishi watu wawili waashiriki.
Ktk mada niliona km ipo ya forest farming, tunaweza kumuomba Malila afacilitate. Na kufacilitate ni km kuongoza, haina maana unatakiwa ujue kila kitu. Vingine washiriki wenye uzoefu watachangia
Karibu tunasubiri tuone wadau wote watasemaje, tuendelee kuwepo hapa
 
Kutoka list ya juzi kuna wadau wawili wameongezeka
Dolevaby
Gubas Vyagusa
.......................
kama kuna mwingine anaingia jiorodheshe hapa
 
Asanteni wadau, hadi kufikia jana wote wamekubali venue ya Dar, ila Flogham poultry farm ataconfirm attendance one week before. Tutatoa majina upya jumamosi maana watu wanaongezeka, mwenye wageni a confirm hapa.

Kwaiyo kwa sasa tunatafuta venue kwa Dar, ombi langu iwe inafikika kwa urahisi, utulivu kiasi tuweze sikilizana na pia bei nzuri. Kuwasaidia wanaotoka mikoani napendekeza iwe jirani na ubungo ila tuepuke zile taa zina foleni tukikutana Shekilango, Sinza au maeneo jirani na Mlimani city itakua poa lakini mwenye mawazo mazuri aweke hapa jina na bei zao ili tufuatilie tena.

Halafu tutapanga kwa pamoja topic kama alivyoshauri Chasha. Asanteni na siku njema wote
 
Kwa Dar itakuwa safi sana. Mama Joe nimeku-pm saa nyingine nakuwa sijapitia huku jukwaani. In case of anything unaweza kunipigia simu au sms.
 
Kama watu ni wengi Kwenye gharama pia tuweke kukodi gari la kwenda kutembelea shamba lolote la mfano ili tuweze kujifunza.
 
Habari za mchana, alikuwa anasubiriwa Liverpoolfc tu yeye kama ilivyo kwa Chasha amekubali kuhamishia Dar wengine walishatoa majibu. Ukumbi kutokana na michango ya wadau umepatikana Shekilango rd na bei sio mbaya ni 35000 kwa kichwa ikijumuisha stationary, lunch na breakfast.

Tuna sponsor wetu atachangia kiasi fulani na pia kuchangia accomodation ya wenzetu wa mikoa nje ya Dar, tunamshukuru sana kwa moyo wa kujitoa. Kulikuwa na pendekezo za ukumbi wa bure ila ni maeneo ya Kunduchi ila tunahofia umbali na itafanya watu wawe na hofu ya usafiri.

Kufikia hapa sasa ni kwa upande wetu kuamua ili tuendelee na michakato ya agenda na mengineyo (hapa Chasha na wengine watasaidia)
NB bado tunapokea wanaotaka kuhudhuria jiorodheshe hapa au kwa pm na taarifa nyingine muhimu tutatuma kwenu nyote. Karibuni na mchana mwema.
 
Asante kwa kutoa wazo hivi ni vitu vya kwenye agenda nafikiri watajibu hapa ingawa muda ni mfupi na watu tunabiashara tofauti. Kikubwa tutapata mentors kwenye meeting tuweze kuwatembelea kwa siku za mbele.
Kama watu ni wengi Kwenye gharama pia tuweke kukodi gari la kwenda kutembelea shamba lolote la mfano ili tuweze kujifunza.
 
Naomba nichangie kidogo

Kwanza nathibitisha kuhudhuria na ninaomba namna ya kuwasilisha mchango

Kwakuwa ni Mara ya kwanza tunakutana na bado hatujajuana nini na malengo ya mkutaniko huu ... ni muhimu zaidi kwanza tuka identify preliminary/primary objective ya gathering yetu .... moja .... unaweza kuwa ni kuwakutanisha na kujuana baina yetu sisi wajasiriamali katika specific sector (eg. animal husbandry, agriculture, aquaculture hence poultry, horticulture etc) au all sectors including employees ..... mbili tukisha kutana na kujuana tuna-set secondary objective pamoja na vision and mission ambapo hapa tunaweza kuwa na kusudio LA kuanzisha umoja,ushirika,kampuni and all what you can call ..... tatu .... then tuka-set strategic plans za tunachokusudia

All these should be done in a nutshell or skeleton mode ..... finally siku hiyo ningependekeza iwe siku ya ku-brainstorm, liaise and networking kwa wale tutakao kutana ..... hapo ndipo tutakapopata pa kuanzia kwani tutakua tumepata maono na kujua which is a specific area of concentration na changamoto mbalimbali na jinsi ya kuzitatua ..... Next tunaweza anza jitihada za continuous practice developments programmes kwa kuwa na lessons and presentation Mara kwa Mara

Ahsanteni

In God we Trust
 
Hapo ndipo tunapopataka na kuanzia sasa tutaongelea hili ili tufikie conclusion nini tunakwenda ongelea. Tunawahitaji wadau wote kwa michango yenu ili twende pamoja.

Awali ilikuwa tiu yeyote mwenye topic au uzoefu ktk sector fulani lakini awali ya wote tunahitaji kuwa na kwanza lengo, maono na plan ya huu umoja unaoenda kuanzishwa kwa kukutana siku hiyo. Tuweke tofauti zetu kimiradi tuone jinsi gani tunaweza itumia fursa hii ya umoja wetu. Nadhani hii ikae kama intro part na Bluetooth waweza kuiweka vizuri zaidi?
Naomba nichangie kidogo

Kwanza nathibitisha kuhudhuria na ninaomba namna ya kuwasilisha mchango

Kwakuwa ni Mara ya kwanza tunakutana na bado hatujajuana nini na malengo ya mkutaniko huu ... ni muhimu zaidi kwanza tuka identify preliminary/primary objective ya gathering yetu .... moja .... unaweza kuwa ni kuwakutanisha na kujuana baina yetu sisi wajasiriamali katika specific sector (eg. animal husbandry, agriculture, aquaculture hence poultry, horticulture etc) au all sectors including employees ..... mbili tukisha kutana na kujuana tuna-set secondary objective pamoja na vision and mission ambapo hapa tunaweza kuwa na kusudio LA kuanzisha umoja,ushirika,kampuni and all what you can call ..... tatu .... then tuka-set strategic plans za tunachokusudia .....

All these should be done in a nutshell or skeleton mode ..... finally siku hiyo ningependekeza iwe siku ya ku-brainstorm, liaise and networking kwa wale tutakao kutana ..... hapo ndipo tutakapopata pa kuanzia kwani tutakua tumepata maono na kujua which is a specific area of concentration na changamoto mbalimbali na jinsi ya kuzitatua ..... Next tunaweza anza jitihada za continuous practice developments programmes kwa kuwa na lessons and presentation Mara kwa Mara

Ahsanteni

In God we Trust
 
fikra nzr sn kwa waandaaji tuwapongeze sn, ila tulipenda kujua itakuwa lini ili tuweze kuthibitisha ushiriki wetu maana tulio mikoani pia na majukumu mengne pia tujue tutasimamisha vp.
 
Ni tarehe 7 February ni kama wk 2 zijazo. Karibu sana.
fikra nzr sn kwa waandaaji tuwapongeze sn, ila tulipenda kujua itakuwa lini ili tuweze kuthibitisha ushiriki wetu maana tulio mikoani pia na majukumu mengne pia tujue tutasimamisha vp.
 
Hapo ndipo tunapopataka na kuanzia sasa tutaongelea hili ili tufikie conclusion nini tunakwenda ongelea. Tunawahitaji wadau wote kwa michango yenu ili twende pamoja. Awali ilikuwa tiu yeyote mwenye topic au uzoefu ktk sector fulani lakini awali ya wote tunahitaji kuwa na kwanza lengo, maono na plan ya huu umoja unaoenda kuanzishwa kwa kukutana siku hiyo. Tuweke tofauti zetu kimiradi tuone jinsi gani tunaweza itumia fursa hii ya umoja wetu. Nadhani hii ikae kama intro part na Bluetooth waweza kuiweka vizuri zaidi?

Mama Joe ..... kwa haraka haraka ningeona ni vizuri tukai brand hiyo siku kama 'Inception Day' .... ikimaanisha siku ya kuanza .... Kwa kuwa hatujui tunaanza/tunaanzisha nini ? basi siku hiyo iwe generally an inception day meaning that we are starting something .... the branding is simple, easy to understand and attracts well

I stand yo be corrected
 
Last edited by a moderator:
Thanks Bluetooth, whatever name we call it we all anticipate to gain something out of it and gonna be a good starting point for more future bonding between members. We cant all meet and sit down to write this nor arrive to a good idea here so we have to leave it to one or two members to prepare this part starting with you then we all discuss this on the D day. Technical issues speakers kuna Chasha na topic tulitaja ila tunahitaji more 2 or one speakers to liven the day.

Each topic will have about 40min presentation and about 40 for discussion. Since we have animal husbandry, cultivation, consultancy including employment, mineral sector and other businesses we hope more people will contribute before and if not during the meeting on their respective fields and we can all gain something out of this.

When we know which topics to be expected we can draft an agenda and more discussion before the meeting day.
Mama Joe ..... kwa haraka haraka ningeona ni vizuri tukai brand hiyo siku kama 'Inception Day' .... ikimaanisha siku ya kuanza

Kwa kuwa hatujui tunaanza/tunaanzisha nini ? basi siku hiyo iwe generally an inception day meaning that we are starting something .... the branding is simple, easy to understand and attracts well

I stand yo be corrected
 
Last edited by a moderator:
Mama Joe and Others!

This Chasha's Thread Has Now Registered New Topic Within..(Apart from Chasha's Topic on Wishing All the Best Wajasiriamali).The New Topic is "THE MEETING FOR ALL WAJASIRIAMALI".And As We Can Follow Discussions,It Seems That The Idea For Meeting Has Now Gained Momentum and Draws Tension of Any Member Who Visits It..Thats Oky!

But My Point Here Is,
For The Purpose of Reaching More Entrepreneurs I Suggest Mama Joe(As Key Facilitator) She Open New Individual Thread Main-Themed on Wajasiriamali Meeting To Be Held This 7th of February!This Will Call More Entrepreneurs To Attend and Hence Having Chance To Share A Vast Body of Experiences..! My Interest is To Know Whether Many Entrepreneurs In This Forum Are Aware About It or Not As Its Discussed Inside Another Thread?

Anyway,it was just mere suggeations and to add some extra Kg's on the Meeting as scheduled! And Incase if members you agree with it,then the one who shall be responsible to open new thread should highlight various ideas and suggestions included as from the beggining of topic till now(current business say to find venue) so as to enrich any new reader with enough details.

I'm Proud of You.
Thank You All.
..you will be the same person in five years except for the people you meet and books you read~Charlie Jones
 
Last edited by a moderator:
Thanks so much Bw. Daffa but we'd rather ask mods to change the title than shift the thread as most members may confuse it as a new meeting. We have gone far now and some details for the meeting cant all be posted here. We promised to have reached a conclusion on venue by friday then all who have shown interest will be informed of next steps. Just keep on participating here we need your contributions. Asante sana

Oky Mama Joe Ilo Pendekezo la Mods Kuchange Tittle Pia Ni Zuri Sana.

Nashkuru Sana Naamini Hili Wazo Litafanikiwa
Thanks so much Bw. Daffa but we'd rather ask mods to change the title than shift the thread as most members may confuse it as a new meeting. We have gone far now and some details for the meeting cant all be posted here. We promised to have reached a conclusion on venue by friday then all who have shown interest will be informed of next steps. Just keep on participating here we need your contributions. Asante sana
 
Last edited by a moderator:
Kama watu ni wengi Kwenye gharama pia tuweke kukodi gari la kwenda kutembelea shamba lolote la mfano ili tuweze kujifunza.

Si dhani kama muda wa kutembelea mashamba utakuwepo na kumbuka ni ishu ya masaa kadhaa
 
Mimi nazania kikubwa kabisa
1. Kufahamiana-Hapa kila mtu anaweza kuja na Business Card zake au whaterver kwa ajili ya kuwapatia wenzake

Baada ya hapo ndo maswala ya kujadili changamoto mbalimbali zinazo kumba wajasirimali zitatolewa na ni lazima mambo ya kuzngumzwa yajulikane mapema ili watu wajiandae,
 
Glory to God. Am isnpired and it worthy not to miss. Mama Joe add me in the list pleas
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom