Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Ni sawa unayosema lakini tukijitaidi itawezekana maana sio kuwa tuingie deep maana sio wote wanafuga kuku tu. Pia tukiongelea mifugo mingine hata juujuu italeta utofauti na kuepusha wote kufanya kitu kimoja mfano kwale, kanga, mbuzi masoko yake vibali nk.

Mtu aongelee kiasi cha nusu saa tu mabanda, chanjo, chakula, masoko, changamoto kisha tukajadili nini cha kufanya si inatosha? Mambo ya magonjwa hayo ni accident na sio kila afugae atayapata na yanahitaji wataalamu ambapo tumesema consultation. Ila tukubaliane hapa hapa hata kama ni kuwa tu na mada pia inahitaji muongozo siku nzima tusiimalize kwa kitu kimoja
Mama Joe mimi nina maoni hapo, kwa kweli Muda hautatosha hayo yote Unless kama tutakaa Siku mbili, Ushauri wangu ni huu hapa,

Ishu kubwa ni kufahamiana na baada ya hapo nazani tuangalie in general maswala ya ujasiraimali, kwa sabbau ukisema watu waanze kueleza nini maana na misitu au misitu inapandwa vipi ni kupoteza muda, na hata ishu za mifugo huwezi anza kueleza kwamba banda linatakiwa liwe hivi,

NINI KIFANYIKE?

Baada ya ufunguzi wadau wanaweza leta hoja, na hapo kuwepoi na hoja nyingi,na ziwe ni katika mazungumzoa ya watu wote, Mfano mimi naweza anzisha maada ya ufugaji wa kuku. Hapo sasa kila mtu anaweza toa maoni yake, kwa sababu time haitatosha na kwa Dar kuanza itatuwa saa nne
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa unayosema lakini tukijitaidi itawezekana maana sio kuwa tuingie deep maana sio wote wanafuga kuku tu. Pia tukiongelea mifugo mingine hata juujuu italeta utofauti na kuepusha wote kufanya kitu kimoja mfano kwale, kanga, mbuzi masoko yake vibali nk. Mtu aongelee kiasi cha nusu saa tu mabanda, chanjo, chakula, masoko, changamoto kisha tukajadili nini cha kufanya si inatosha? Mambo ya magonjwa hayo ni accident na sio kila afugae atayapata na yanahitaji wataalamu ambapo tumesema consultation. Ila tukubaliane hapa hapa hata kama ni kuwa tu na mada pia inahitaji muongozo siku nzima tusiimalize kwa kitu kimoja
Mama Joe, ni vigumu sana kuanza kuongelewa kwamba kuku wanatakiwa kuchanjwa na sidhani kama kuna mtu anafuga na hajui hilo na kama mtu hafugi kabisa hiyo ni ishu nyingine na si mahari pake, Ujue inatakiwa wahudhuriaji wawe wanafanya something hapo tutaongela lugha moja, Ila mtu akija na story kwamna anajiandaa mata ana mpango haitaleta maana.

OK, vyovyote vile Ila kwa upande wangu nitaongelea s ishu ya Kuku hasa Hatcher, Chakula(Hydroponic fodder & Red worm) Ila si kufundisha process make itachukua wiki na hata hivyo mafunzo yake huwa sio theory bali ni kwa vitendo

Mada zangu zitakuwa hizo if other things remain costant,
 
Last edited by a moderator:
Good! Ndio nilichomaanisha kwamba kama hatuna jipya tuongee basics tu, sasa kama kuna topic ulizoweka ni new technologies ndizo tunahitaji ku share. Tafadhali endelea na maandalizi yako kuna mada tumeweka zaweza punguzwa muda, feel free to suggest additions hii sio final. Asante
Mama Joe, ni vigumu sana kuanza kuongelewa kwamba kuku wanatakiwa kuchanjwa na sidhani kama kuna mtu anafuga na hajui hilo na kama mtu hafugi kabisa hiyo ni ishu nyingine na si mahari pake, Ujue inatakiwa wahudhuriaji wawe wanafanya something hapo tutaongela lugha moja, Ila mtu akija na story kwamna anajiandaa mata ana mpango haitaleta maana.

OK, vyovyote vile Ila kwa upande wangu nitaongelea s ishu ya Kuku hasa Hatcher, Chakula(Hydroponic fodder & Red worm) Ila si kufundisha process make itachukua wiki na hata hivyo mafunzo yake huwa sio theory bali ni kwa vitendo

Mada zangu zitakuwa hizo if other things remain costant,
 
Last edited by a moderator:
Hao wawili sijui wako wapi kwakweli kimya sana tutashukuru wakipatikana na Kubota pia, Malila yeye hatakuwa Dar ila tunatumaini next time tutakuwa naye au tutamtembelea kama darasa.
Mkuu tuko pamoja tatizo sehemu ya shughuli zangu nimehamishia nchi jirani nikitulia nitarudi kama siku za nyuma.
 
Na mpaka hivi sasa kutokuonekana kwa post ya member mwenzetu @kutoba siyo kwamba hatuko naye.....kwa kweli alikuwa safarini ila Mwenyenzi Mungu amemwezesha ameenda na kufika salaama na kurudi salaama salimin na ameniahakiki ya kwamba Mungu akitujalia hakika atakuwa nasi bega kwa bega.
Anawasalimu sana wana jukwaa!!!!

Mama Joe yuko wapi Mama timmy????

GAZETI uko wapi?
Mkuu baadhi ya shughuli zangu nimehamishia nchi jirani, lakini Mungu akipenda nitarudi kama zamanu.
 
Last edited by a moderator:
Update
Tunaendelea vizuri na leo nimewasiliana na sponsor, wengi wali confirm kuja wameishatoa michango. Please kama bado hujatoa ile conference package (17500) unaombwa kutuma leo ni mwisho ili kesho tukalipie. Ratiba inaenda kama kawaida hivyo tuendelee na maandalizi kama mwanzo. asanteni na karibni sana
 
Mkuu baadhi ya shughuli zangu nimehamishia nchi jirani, lakini Mungu akipenda nitarudi kama zamanu.



Fanya kazi Mkuu,ila kumbuka ya kwamba una watu wako huku ulikotoka Mkuu wanakutegemea kwa namna moja ama nyingine.

Na hata huko ulipo uwe na wakati mzuri Mungu mwingi wa Rehema akulinde Daima!
 
Majira hy nipo njia moja Dar,na bila shaka nategemea uwepo wa member kibao toka pande zote.....na Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema atujalie na hata mawazo yetu yafike salaama salimin!!
 
Majira hy nipo njia moja Dar,na bila shaka nategemea uwepo wa member kibao toka pande zote.....na Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema atujalie na hata mawazo yetu yafike salaama salimin!!
amina safari njema
 
Bado niko Moshi so sijajua, ila nitajitahidi sana, hata kama nikufika kesho haina shida
 
Nipo hapa rombo green view, nimemuulizia huyo mdau nimeambiwa bado hajafika, watu wengi pia hawajafika, ukumbi wa mkutano wetu uko gorofa ya kwanza, unaitwa neyma, mpaka sasa bado umefungwa. Nimeranda hapa kwa nje
 
Kama mwenyeji na coordinator napenda kutoa shukrani sana kwa mwamko wenu. Ni zaidi ya tulivyotegemea... Naamini huu ni mwanzo tu, tutafanya makubwa zaidi. All the best.
 
Napenda Kuchukua nafasi hii, Kuwapongeza members wote walio fanikiwa kuhudhuria meeting, umekuwa mwanzo mzuri sana kwetu na nimejifunzo jambo moja kubwa kabisa ambalo limekuwa linanisumbua akili siku nyingi sana.

Nimwahakikishie wahudhuriaji wote kwamba huu ni mwanzo na tutafanya makubwa zaidi ya hapo, na plan zetu zote zitandea sawa na na nawaandikia wakina Invisible watutangenezee page special kabisa.

Nichukue nafasi hii kuwashukuru wafuatao, madinimadini pamoja na Mama Joe, na nitaomba mod afunge rasimi huu uzi na tuanze page mpya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom