Habari za leo wakuu.
Nashukuru mungu maana naona mambo yanaelekea kuwa mazuri kuhusu mkutano wetu.
Kuna mdau ameongelea habari za kutengeneza objectives, mission and vission. Ni wazi zuri sana lkn ninavyolijua hilo zaidi linaweza kuuchukua siku nzima, hasa vision na mission. Mimi nashauri , tukikutana tutengeneze objectives tu, ambapo tutaainisha main objective na specific objectives. Kwenye kutengeneza mission na vision tunaweza kununua baada ya huyo mkutano wa kwanza, tunaweza kubrainstorm kutumia whatsapp group msg. Halafu tuje kwenye discussion ya sectors. Hapa ninamaanisha kilimo (agriculture), mifugk nk. Kuna subsector ambapo ni forestation, ufugaji wa kuku nk. Sasa ktk hizi subsector kuwe na facilitator (siyo lazima ajue kila kitu), na jukumu lake ni kuwezesha hiyo discussion ifanikiwe. Nashauri ktk hayo majadiliano ya subsector tujadili issues au changamoto tunazokutana nazo na jinsi ya kuzishinda. Tukisema tufanye presentation ya jinsi ya kununua kuku wa nyama mwanzo hadi mwisho, tuje kuku wa mayai, tuje urban farming, tuje forestation muda hautatosha.
Nawasilisha
Mama Joe, nazani mambo mengine ni pamoja na kupanga, tarehe ya mkutano wapili na ni vizuri ikawa mara mbili kwa mwaka, so tutapanga mwezi, na wapi pa kufanyia,asante nafikiri issue ya contents za agenda ndio inaanza sasa
ninavyojua vision au maono au wazo ndio inaanza means za kuifikia au mission ndio malengo au goals and objective zinafuata. Objectives na hasa specific zinaweza tajwa ila tusiingie deep maana muda hamna bali zitapangiwa muda wake na kwa wale walengwa watakutana na kujadiliana jinsi ya kuzifikia
Asante ndio najaribu kuanza kuainisha wazo sasa ili tuanze ku draft agenda hapa hapa na kupunguza mambo mengine kwenye meetingMama Joe, nazani mambo mengine ni pamoja na kupanga, tarehe ya mkutano wapili na ni vizuri ikawa mara mbili kwa mwaka, so tutapanga mwezi, na wapi pa kufanyia,
asante sana namna hii tutaweza fika somewhere mradi tusitoke nje ya mada.Tupo pamoja wakuu, nami naainisha mission , vision na objectives halafu nitazitupia humu
Wajasiriamali wote mnakaribishwa bado tunapokea watu, watu wameishaanza kutoa michango yao lakini meeting ni wiki 1 na nusu kuanzia sasa
cc
Kig
Amani Ng'oma
Green House
rmashauri
Eberhard
Mama Joe.........hapo juu ni baadhi ya member ambao wamekuwa on line ama??
unataka kiasi gani? yes yapo
kaka chasha,mimi nimeanza mwaka jana mwezi wa kumi tarehe 20,na kuku wa3,yaani mitetea mi2 na jogoo m1,wa kienyeji, walivoanza kutanga m1 niktafuta mayai chotara,nikamlalishia,but huyo kuku akafa,nikapeleka some place yakaanguliwa watoto 6, na aliebaki nikamuatamishia mayai 10,akaangua 8, tar15 dec nikamnyanganya baada ya siku5, januari10 kaanza kutaga na tarehe 26 kaanza kulalia ,anamayai 10,kwa sasa nina vfaranga 13 vikubwa na wamama 2, jogoo sina. ninaomba kama 1tray la dorep, plz kwangu si pakubwa na bado sijakaa vzr .
karibu ndio tunaandaa meeting tarehe 7 february ndio lengo la huu uzi upitie vizurikama vp tutaftane ase coz tunataka networking sana tu