Asante mpendwa kufikia hapa tutaconfirm kila kitu kwa pm. Bless
Mama Joe
Chasha Poultry Farm
Na wadau wote tulio ba nia njema na mengi tunayotazamia.
Napenda niwasalimuni wote katika Jina la Bwana wapendwa wangu wote wa jukwaa hakika tunaenenda vizuri kabisa.........ila napendkeza kitu kimoja ambacho ni muhimu sana.
Nimeona mtazamo wa Chasha Poultry Farm akilenga kwamba hata kama ni Dar ndiyo wanatoka member wengi itakuwa poa tukikutana huko,bila shaka ni mtazamo bora tu na ni changamoto ameleta.
Warning yangu ninayotoa ni moja tu........ Mama Joe ningependa sana tena sana tupate idadi ya member wenzangu ambao watakuwa active tunayoilenga ujue idadi kabisa na ikibidi kila mmoja uwe na mawasiliano naye.......si mbaya pale ulipofikia na kujua gharama ya kila kitu,hapo Mi binafsi nakupa pongezi asante sana Mpendwa wetu Mama Joe
Kuna kipindi fulani mwaka 2012 member kadha tuliahidiana jambo fulani na tukasema tukutane Dar,hakimungu ikala kwangu safari ile maana siku ya siku wamenidanganyia njia na hawajajitokeza na ikawa nimesfiri bure na kupoteza muda bure kabisa.
Narudia tena ya kwamba member tuliotayari na hili twende PM na Mama Joe kwa mawasiliano zaidi.
SINA MENGI ZAIDI YA KUWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NJOZI NJEMA NDUGU ZANGU.
Last edited by a moderator: