LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Shida ya wasiotaka kuelimika wakiona maandishi mengi hivyo hawasomi, wanakimbilia kuchangia ujinga na kuendelea kulalamikia serikali, mf hao waliogundua opportunity ya kufata vitu china ilkuaje, hao wanaofuga kuku serikali imewashikaje mkono, shida ni kutaka kuajiriwa serikalini wakati hata nchi zilizoendelea serikali inaajira chache. Mtu mtaani kwao kuna migahawa mizuri, hawana juisi ya maembe, badala akauze pale anakaa kusubiri serikali imuajiri, shwain kbs
Mkuu,hapo juu umenichekesha sana tena sana tu
Kwa ujumla sisi Watanzania hatutaki kujituma hata kidogo tunapenda kusubiria na itawagharimu wengi sana!