Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

Haya ndo mambo, ukumbi je upi unapendekeza, mimi VETA
.

Yah Veta Iko Vizuri Mama Joe
Sijajua Gharama za Morogoro Hotel Kuna Semina Flani Nilihidhuria Pale Kuna Venue Ndogo Ndogo.. Nadhani Hii Itategemea Sana Idadi ya Watu Watakao confirm kuhudhuria
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli niliogopa labda mtasema ila moro hotel nzuri na vile vi room vidogo vidogo afu vina adjustable partition. Tuulizie bei
Yah Veta Iko Vizuri Mama Joe
Sijajua Gharama za Morogoro Hotel Kuna Semina Flani Nilihidhuria Pale Kuna Venue Ndogo Ndogo.. Nadhani Hii Itategemea Sana Idadi ya Watu Watakao confirm kuhudhuria
 
Last edited by a moderator:
I see! Nshakuwa coordinator?
Afu siwaoni ladies sijui wako wapi ngoja nijaribu kuwaita hapa

Husninyo
Wazo langu
Hornet
Lady furahia
Englishlady
Neggirl
Reti
Remmy
Mama Timmy
Mama Carol
afu Mamndenyi simuoni muda uku
na wengineo karibuni jamani
.................
Jamani ladies mama anawaita uku meeting Moro please please

Last edited by a moderator:
Tatizo wengine jmosi siku ya kazi

Lakini ikijulikana mapema mipango inaweza kufanyika ya likizo
 
Karibu sana nafikiri soon tutafikia muafaka iwe tarehe ngapi ili uombe leave, umepotea lakini? Fuatana nasi hapa ili tupange pamoja
Tatizo wengine jmosi siku ya kazi

Lakini ikijulikana mapema mipango inaweza kufanyika ya likizo
 
Mimi ni Lady Mama Joe

I see! Nshakuwa coordinator?
Afu siwaoni ladies sijui wako wapi ngoja nijaribu kuwaita hapa

Husninyo
Wazo langu
Hornet
Lady furahia
Englishlady
Neggirl
Reti
Remmy
Mama Timmy
Mama Carol
afu Mamndenyi simuoni muda uku
na wengineo karibuni jamani
.................
Jamani ladies mama anawaita uku meeting Moro please please
 
I see! Nshakuwa coordinator?
Afu siwaoni ladies sijui wako wapi ngoja nijaribu kuwaita hapa

Husninyo
Wazo langu
Hornet
Lady furahia
Englishlady
Neggirl
Reti
Remmy
Mama Timmy
Mama Carol
afu Mamndenyi simuoni muda uku
na wengineo karibuni jamani
.................
Jamani ladies mama anawaita uku meeting Moro please please

ha ha ha Mama joe. Ladies tupo, nami nihesabu
 
Oh lalalaaaa karibu sana mkuu haya majina yanachanganya, nimefurahi sasa tuna company itakua poa

wakuu tunakumbushia wanaokuja jiorodhesheni, kuepuka gate crasher venue na date tutapeana pm maana usipojiorodhesha hapa ukumbi tutajihesabu wachache, usijetokea kule bila kuwa enlisted kwenye huu uzi. Karibuni sana wote wapenda maendeleo.
ha ha ha Mama joe. Ladies tupo, nami nihesabu
 
Shida ya wasiotaka kuelimika wakiona maandishi mengi hivyo hawasomi, wanakimbilia kuchangia ujinga na kuendelea kulalamikia serikali, mf hao waliogundua opportunity ya kufata vitu china ilkuaje, hao wanaofuga kuku serikali imewashikaje mkono, shida ni kutaka kuajiriwa serikalini wakati hata nchi zilizoendelea serikali inaajira chache.

Mtu mtaani kwao kuna migahawa mizuri, hawana juisi ya maembe, badala akauze pale anakaa kusubiri serikali imuajiri, shwain kbs
 
Thanks wiki hii tutafute cost ya venue pendekezwa, kisha nitajaribu kugawa kati ya members ndio tujue cost na watu wachague ipi? Ndio tupange tarehe. Ila kama walivyopendekeza mwanzo, jmosi ya kwanza/pili ya mwezi Februari

Safi sana
 
Oky Sawa sawa

Back
Top Bottom