Safi sana Chasha hapo poa kabisa
Nazani Mwezi wa Pili katikati itakuwa mwafaka, sana na unaweza pendekeza tarehe ila shariti iwe weekend hasa jumamosi make wa mikoani tunaweza ondoka ijumaa, jumamosi tukaatend na jumapili tukageuza zetu. Na Morogoro patafaa zaidi kwani ni centre na kwa watu wa Dar ni rahisi mno,
Maada mtaongezea.
1. Furusa za Kilimo biashara kwa Tanzania
2. Urban Farming(Kilimo cha kwenye Rami) Tehe tehe
2. Ufugaji ndege wote
3. Ng'ombe, mbuzi, kiti moto na kazalika
4. Nyuki na kazalika
5. Kilimo
6. Changamoto
7. Ways foward
Na kama tutakuwa na mda watu wanaeza shusha nondo na mtu anaweza chukua maada moja akapresent, mimi binafsi naweza present maada ya kuku au part ya kilimo hasa kilimo cha kwenye Rami