Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

hapo nakupata mkuu kidogo kidogo tunaanza kuelewa ila kama wasikilizaji wenye nia ya kuanza biashara nao wangejieleza tu nini wana plan kufanya na hivyo watu watachukua contact zao for future use au sio?
Inafaa pia
 
Aisee Wakuu Chasha Poultry Farm Mama Joe na LiverpoolFC Natanguliza Shukrani Zangu Kwenu na Wadau Wote Humu. Nimependa Sana Hili Wazo la Network ya Wajasiriamali.

Mimi Naomba Jambo Moja Wakuu,Kwamba Mnaonaje Hata Bado Ambao Hawajaanza Business Yeyote Pia Wakahudhuria Ili Angalia Kupata Uzoefu Kutoka Kwenu? Kama Hili Litwezekana Basi Nitashkuru Sana Mana Natamani Sana Kushiriki Ila Bado Sijaanza Business Yeyote.

Mkubwa,umesomeka maridadi kabisa na wazo lako ni zuri na tutalifanyia kazi barabara!
 
Last edited by a moderator:
Wadau jukwaa......kheri ya mwaka mpya 2015

Bila shaka humu tu wazima wa afya njema kwa kudura zake Bwana wa majeshi.........

Tu pamoja kama ilivyo ada na kwa mtazamo wetu tuliokuwa tunautazamia tangu mwaka jana hakika mipango iko pale pale
Baadae majira ya jioni bila ya kukosea itabidi tuweke tarehe lengwa ya kukutana kama member wengi tulitazamia mwezi wa pili ingetupendeza.

Chasha Poultry Farm
Mama Joe
Kubota
Mawasiliano yenu ni muhimu sana tuwasiliane leo muda wowote kwa maongezi zaidi.

Sina mengi ila natazamia muwe na wakati mzuri Bwana akitutangulia popote pale tuwepo hata sasa!
 
mkuu safi sana
 
Good Moro ni pazuri nafikiri wengi wataweza kwa hili, lakini inavutia zaidi mtu ukijua lengo yaani ajenda nafikiri wenzetu wa chai day huwa wanajua ni misitu tu wa kuku usitie pua, sasa pamoja na kuwa umetaja wajasiriamali ila wengi wetu vile tumekuwa motivated na vitu ufanyavyo tunajua issue za vitu vya mifugo lazima viwepo, naweka tu mfano (msinichukie mwamba ngoma....)
1. Kutambuana wafugaji wa kuku aina moja mf broiler, layers, chotara na kienyeji
2. Kujuzana jinsi gani kuweza kushika soko jwa pamoja mf kuchukua tenda wewe wk hii mie ijayo nk
3. vyakula, chanjo na madawa na mbinu za kupunguza cost ktk ufugaji
4. ufugaji ndege wengine na soko vibali vyake mf kware, kanga na bata bukini
5.......................... ni mifano tu maana ni siku moja so vitu viwe vichache lakini tukija before hand tukijua nini tunatarajia nafikiri inatosha kabisa
Merry Xmas and Happy New Year to all
cc neggirl, goodmother, hossam, pachanya, pleo....ongezeeni

Ni vizuri kuwa na common agenda ili mjadala uwe na mwafaka na uweze kutimiza malengo. Ukishachanganya makundi mawili tofauti, ujue itakuwa ni kupoteza muda, kwa sababu mbinu za mfuga kuku sio sawa na mwendesha daladala.

Nimeshaingia rasmi kwenye kuku na jamii yake, naamini nitakuwa nanyi mguu kwa mguu. Itasaidia sana kama tukikutana mara kwa mara.
 
Mkuu Malila nafikiri bila shaka ingependeza sana nikikuona mkongwe kama wewe tukiungana pamoja mwanzo thread hii............na mawazo yako yana changamoto nzuri hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Malila nafikiri bila shaka ingependeza sana nikikuona mkongwe kama wewe tukiungana pamoja mwanzo thread hii............na mawazo yako yana changamoto nzuri hapa!

Asante,

Nimeadimika kidogo sababu nilikuwa shambani huko porini, walau siku hizi mbili tatu nitakuwa hapa jamvini, huu ndio msimu wetu sisi wakulima wa miti.

Nirudi kwenye point, study tours ni nzuri sana, ni muhimu kwa mjasiriamali kufanya tours kwa wengine, ningependa hata sisi wafuga kuku tukajuana vizuri ili tuweze kubadilishana uzoefu. Mfano sisi walima miti, tunajuana, sasa hivi tumefikia hata kuagiza mbegu za miti toka nje ya nchi baada ya kugundua uzembe wa serikali na taasisi zake, tumelia lia sana na vituo vya mbegu, baadae tukagundua kuwa hapo jirani kuna mbegu za uhakika. Tunachukua mzigo mkubwa tunagawana na tunasonga mbele.

Tukienda kwa makundi yenye product moja kwa kumaanisha, hili suala la kulia lia habari ya soko litakwisha lenyewe, ila ni lazima tuzalishe kwa ubora wa juu ili kuteka soko. Tusisubiri serikali itufanyie kila kitu.
 
Safi sana mkuu Malila
 
Last edited by a moderator:
Mkuu barikiwa tuko pamoja, sie wengine ratiba ziko flexible kidogo hadi March. Hivyo mngeanza kupendekeza hadi tufikie mwafaka.
Wadau jukwaa......kheri ya mwaka mpya 2015

Bila shaka humu tu wazima wa afya njema kwa kudura zake Bwana wa majeshi.........

Tu pamoja kama ilivyo ada na kwa mtazamo wetu tuliokuwa tunautazamia tangu mwaka jana hakika mipango iko pale pale
Baadae majira ya jioni bila ya kukosea itabidi tuweke tarehe lengwa ya kukutana kama member wengi tulitazamia mwezi wa pili ingetupendeza.

Chasha Poultry Farm
Mama Joe
Kubota
Mawasiliano yenu ni muhimu sana tuwasiliane leo muda wowote kwa maongezi zaidi.

Sina mengi ila natazamia muwe na wakati mzuri Bwana akitutangulia popote pale tuwepo hata sasa!
 
Last edited by a moderator:
Itakua poa wakongwe mkija tukapata uzoefu ktk biashara. Tuko pamoja wakuu.
Asante,

Nimeadimika kidogo sababu nilikuwa shambani huko porini, walau siku hizi mbili tatu nitakuwa hapa jamvini, huu ndio msimu wetu sisi wakulima wa miti.

Nirudi kwenye point, study tours ni nzuri sana, ni muhimu kwa mjasiriamali kufanya tours kwa wengine, ningependa hata sisi wafuga kuku tukajuana vizuri ili tuweze kubadilishana uzoefu. Mfano sisi walima miti, tunajuana, sasa hivi tumefikia hata kuagiza mbegu za miti toka nje ya nchi baada ya kugundua uzembe wa serikali na taasisi zake, tumelia lia sana na vituo vya mbegu, baadae tukagundua kuwa hapo jirani kuna mbegu za uhakika. Tunachukua mzigo mkubwa tunagawana na tunasonga mbele.

Tukienda kwa makundi yenye product moja kwa kumaanisha, hili suala la kulia lia habari ya soko litakwisha lenyewe, ila ni lazima tuzalishe kwa ubora wa juu ili kuteka soko. Tusisubiri serikali itufanyie kila kitu.
 
Mimi ni mfugaji wa kuku na nimependa sana wazo la kuwa na network. Nimejiunga pia na group la facebook la MIFUGO NA UFUGAJI na ni mwajiliwa. Niko serious sana na naomba tuungane. Namba yangu ikiitajika niko tayari Kutuma PM.

Mkuu barikiwa tuko pamoja, sie wengine ratiba ziko flexible kidogo hadi March. Hivyo mngeanza kupendekeza hadi tufikie mwafaka.

Naaam! Uko vizuri sana Mama Joe na pamoja na mihangaiko ya hapa na pale pole sana na hongera sana mpaka hapo mlikofikia Mama Joe.....

Ningependa nikuulize,,hivi Mama timmy yuko wapi?
Kubota yeye niko naye on line kwa Whatsapp na amenihakiki ya kwamba atakuwa nasi mwanzo mwisho!

Chasha Poultry Farm Mkuu naomba kama umefika tutafutane bila ya kukosa na nategemea utafanya hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mfugaji wa kuku na nimependa sana wazo la kuwa na network. Nimejiunga pia na group la facebook la MIFUGO NA UFUGAJI na ni mwajiliwa. Niko serious sana na naomba tuungane. Namba yangu ikiitajika niko tayari Kutuma PM.

Pamoja sana idea na fuatilia thread hii bila ya kuchoka
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu sasaivi ninapumua, nimeweza kuwa free na kusimamia vimiradi vyangu. Ninauza skills pia lakini kwa uhuru kiasi naweza hesabu siku kwa mwezi na pia kusafiri kufanya kazi zingine. Nitaku pm namba ila mama Timmy sijui yu wapi but Reti akipata muda anaweza aje. Msalimu Kubota nk. Blessings
Naaam! Uko vizuri sana Mama Joe na pamoja na mihangaiko ya hapa na pale pole sana na hongera sana mpaka hapo mlikofikia Mama Joe.....

Ningependa nikuulize,,hivi Mama timmy yuko wapi?
Kubota yeye niko naye on line kwa Whatsapp na amenihakiki ya kwamba atakuwa nasi mwanzo mwisho!

Chasha Poultry Farm Mkuu naomba kama umefika tutafutane bila ya kukosa na nategemea utafanya hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Naaam! Uko vizuri sana Mama Joe na pamoja na mihangaiko ya hapa na pale pole sana na hongera sana mpaka hapo mlikofikia Mama Joe.....

Ningependa nikuulize,,hivi Mama timmy yuko wapi?
Kubota yeye niko naye on line kwa Whatsapp na amenihakiki ya kwamba atakuwa nasi mwanzo mwisho!

Chasha Poultry Farm Mkuu naomba kama umefika tutafutane bila ya kukosa na nategemea utafanya hivyo!

Mkuu LiverpoolFC bado niko Karatu nazani nitaingia jioni sana mida ya saa 2 au 3 kama mda utakuwa unaruhusu basi nitakucheki ikishindikana basi kesho make nitakuwepo Arusha full time
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu sasaivi ninapumua, nimeweza kuwa free na kusimamia vimiradi vyangu. Ninauza skills pia lakini kwa uhuru kiasi naweza hesabu siku kwa mwezi na pia kusafiri kufanya kazi zingine. Nitaku pm namba ila mama Timmy sijui yu wapi but Reti akipata muda anaweza aje. Msalimu Kubota nk. Blessings

Safi sana usha Choma meli Moto? make hilo ndo swala la msingi sana
 
Mkuu barikiwa tuko pamoja, sie wengine ratiba ziko flexible kidogo hadi March. Hivyo mngeanza kupendekeza hadi tufikie mwafaka.

Nazani Mwezi wa Pili katikati itakuwa mwafaka, sana na unaweza pendekeza tarehe ila shariti iwe weekend hasa jumamosi make wa mikoani tunaweza ondoka ijumaa, jumamosi tukaatend na jumapili tukageuza zetu. Na Morogoro patafaa zaidi kwani ni centre na kwa watu wa Dar ni rahisi mno,

Maada mtaongezea.

1. Furusa za Kilimo biashara kwa Tanzania

2. Urban Farming(Kilimo cha kwenye Rami) Tehe tehe

2. Ufugaji ndege wote

3. Ng'ombe, mbuzi, kiti moto na kazalika

4. Nyuki na kazalika

5. Kilimo

6. Changamoto

7. Ways foward

Na kama tutakuwa na mda watu wanaeza shusha nondo na mtu anaweza chukua maada moja akapresent, mimi binafsi naweza present maada ya kuku au part ya kilimo hasa kilimo cha kwenye Rami
 
Samahanini! Mimi naona hivi vikao vingefanyika kimkoa au kikanda mf. Watu wa Arusha wakutane kwanza.

Kujadili changamoto zinazotukabili katika ufugaji, au Arusha, Moshi na Tanga tubadilishane uzoefu masoko na changamoto.then tupanue upeo kwa kukutana na wenzetu wa Dar, Moro, pwani nk. Na kuwe na shamba darasa yaani tukutane kwa mfugaji aliyepiga hatua katika ufugaji, akiwemo na docta wa mifugo ili kutupa elimu ya magonjwa na namna ya kukinga mifugo yetu na magonjwa.

Ajenda ziwe mahususi kama ni kuku tujikite kwenye kuku wa aina zote na changamoto zake. Na kama ni ngombe basi ajenda pia ijielekeze huko.
 
Mkuu Chasha ilifika kipindi ni melting point! Yaani kila leo kufunga security program kwenye computer, wakahamia simu.

Nikaona too much. Sio kwamba tunaiba nooo ni kwamba kila ufanyacho, uwasiliana nao wawajue hata baada ya kazi. Nikasema kama ni hela tu, hii too much, niliacha april nimesurvive na bizness na nimekuwa na amani. Nina kama vikazi 3 nafanya nahesabu masaa lakini niko free. Bado niko chini lakini naamini sio muda nitafikia pato la ajira na kuzidi.

Nashukuru michango yako imeniinua na dawa ya pullorums imekata vifo kabisa kwenye vifaranga. Nakusanya nguvu uniuzie kenbro na dorep nafikiri february mwanzoni. Blessings

Back
Top Bottom