Charminglady ameanza kukolea kwa wakati ndio sasa....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Charminglady ameanza kukolea kwa wakati ndio sasa.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by St. Paka Mweusi, Aug 10, 2012.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hizi ni habari nilizozishuhudia jana usiku wa manane wakati watu wote wamelala charminglady alikuwaa bado anasoma kwa makini mistari ya wakati ndio sasa na ilinichukua muda kuamini kama zile hasira zote alizokuwa nazo kwa kijana wetu zimeanza kuyayuka.Kwa mlio karibu naye hasa beibe nasty naomba mje mtuthibitishie....na natanguliza hongera kwa kijana kwa moyo wa uvumulivu alioonyesha mpaka kufikia hatua hii muhimu....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu majesho yako uwanja wa mapambano,we tayari unatangaza ushindi,dah sipatii picha wale wanga wanao niwangia watajibeba
  njoo mpenzi charminglady nikutuo shombo la kutendwa ni kumwagia lotion ya mapenzi,njoo kwenye kisima cha malavidavi kwangu ndio kwako toka enzi,usipagawishwe na vikalagosi wa mapenzi,fungua pipi ule ni yako yote usibakize najua umechoka na feka mapenzi,mwaaaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Akaa ni sawa kupiga mkuki ngozi duh unamoyo wa chuma maana unajipa majibu mwenyewe heheheeheh we kiboko chapa simba hehheeh cl hebu njoo usikie huku yanenwayo kweli masantura
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unaomba msaada wa chakula somalia unataka nin?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Nina uhakika na nilichokishuhudia,kinachofuata ITV ni kujipanga katika kuhakikisha hakuchomoki,waliosema wamesema mwisho wamechoka na karibuni nitaanza kutumia yale maneno niliyokuwa nikiyarizvu fo fyucha yuzi..
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hata wewe hajakuambia..!! Nilijuwa taarifa utakuwa nazo,hili ndio tatizo sasa mkishaanza kupenda huwa mna aibu sana,mwambie charminglady ajitokeze basi asione aibu kihivyo, kumkubali mtu ni jambo la kawaida katika maisha wala sio kosa la jinai....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe huyo black cat tena mtakatifu heeeee unashughuli unajua haya ngoja cl aje
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Ukiniona nimenyamaza ujue nimekubali.....wera wera.... mimi nishaanza sherehe huku karibuni tusherehekee ushindi wa wakati ndio sasa
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Wala sishangai kawaida charminglady huwa anaona aibu akishamkubali mtu siku ya kwanza, muda si mrefu atakuja tu utamuona...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jaman nalitaman uuuwiii daku
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Futari yangu uliikataa haya karibu daku basi na nilivyo mtaalamu wa mapishi........
   
 12. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tunalala sahiz sie g9t na wewe ulale
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Haya good night lakini mimi silali kazi yangu ulinzi.......
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hv nyie watu St. Paka Mweusi na wakati ndio sasa mna wazimu ama mapepo. mnawezaje kuusemea moyo wa mtu? kha hebu mnipishe mie cjakubali wala nini. . . mshindwe na mlegezwe kunako n.y.e.t.i zenu!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,082
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  Wameyataka wao wenyewe.

   
 16. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr unamanisha ziwe kama mkono wa sweta ha ha ha ha umeniacha hoi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mmmh! Yaani ziwe mdebwedo debwedee !
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mwanangu mwanangu charminglady, punguza ukali Wa maneno, mama yako nipo naangalia vidume wanavyojichanganya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Whatts up?
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee,JF mpaka raha....
   
Loading...