R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Ushauri kwa Kimei:
Imefika wakati wa kujitathmini na kuachia ngazi bila shuruti ili heshima yake ibaki palepale. Ni kiongozi aliyefail katika industry ya kibenki kwa kutofanya risk assessment;
1. Alianzisha mradi wa mabasi ya wanafunzi umekufa - haujawa endelevu.
2. Kaingia mkataba na TFF ; tiketi system, kanunua satellite dish; kujenga kingo za kuingilia.
3. Kuna taarifa la Jeshi la Polisi kuwa wafanyakazi wa benki kushirikiana na majambazi, tumeona matukio ya Mlimani City.
4. Kontena za TPA zilikuwa zinalipwa CRDB, zilikuwa zinafutwa kwenye mitandao IT Deparment.
5.Ufunguzi wa benki Burundi watu wa risk.
Ni wakati wa kujipima na kujiuzulu..