Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

4. Kontena za TPA zilikuwa zinalipwa CRDB, zilikuwa zinafutwa kwenye mitandao IT Deparment.
Sina hakika ni nani anatakiwa kuwajibika lakini suala la makontena CRDB wamechangia kwa kiasi kikubwa sana! Ukisilikiza malumbano ya TPA na mawakala wa forodha na kama unafahamu banking transactions jinsi zinavyofanyika; basi hupati shaka hata kidogo CRDB wana contrubution kubwa sana katika hili. Na kama check ndo zinatumika sana, basi mchezo unawweza kuishia branch level bila kuhusisha IT coz'; kama makontena ni 100 yenye thamani ya 100 million na wanaamua kulipia 20 kwa thamani ya 20 million na kuingizwa kwenye vitabu vya TPA; Mtu wa forodha atakachofanya ni kulipa cheki ya 20 million na kupewa risit ya 100 million. Siku inafanyika reconciliation, inakuja kuonekana pesa iliyoingia TPA ni 20 million wakati reconcilliation inaonesha yaliingia makontena 100 yenye thamani ya 100 million! Clearing agency ukiwagusa watakuambia walilipa 100 million na deposit slip wanakuletea!!!!
 
Ushauri kwa Kimei:

Imefika wakati wa kujitathmini na kuachia ngazi bila shuruti ili heshima yake ibaki palepale. Ni kiongozi aliyefail katika industry ya kibenki kwa kutofanya risk assessment;

1. Alianzisha mradi wa mabasi ya wanafunzi umekufa - haujawa endelevu.

2. Kaingia mkataba na TFF ; tiketi system, kanunua satellite dish; kujenga kingo za kuingilia.

3. Kuna taarifa la Jeshi la Polisi kuwa wafanyakazi wa benki kushirikiana na majambazi, tumeona matukio ya Mlimani City.

4. Kontena za TPA zilikuwa zinalipwa CRDB, zilikuwa zinafutwa kwenye mitandao IT Deparment.

5.Ufunguzi wa benki Burundi watu wa risk.

Ni wakati wa kujipima na kujiuzuru..
Mtu au hata taasisi yoyote inayoshirikiana na LOWASSA ujue hafanyi mambo yake kwa uwazi. Huyu KIMEI si ndo alikuwa anawashinikiza wafanyakazi kuchangia kampeni za LOWASSA.
 
Wafungue Tawi Lubumbash kutussidia wafanyabiashara risk ni kubwa sana kusafiri na madolari jamani roho mikononi.
 
Utetezi wa kijinga huu. Kwani hakuna watu wengine mbali na Kimei wenye uwezo wa kuipeleka CRDB mbele zaidi ? Acheni kutetea watu kijinga jinga hivi! Eti benki alipoitoa...kwahiyo mfano leo hii Kimei akiwa anatia hasara mfululizo pale CRDB...Aachwe tu kisa ameitoa benki mbali!? Hoja ya kampuni kutolewa wapi haina mashiko kabisa...Watu wanaangalia kampuni ina perform vipi now na projection yake habo baadae inasomekaje.

Huyo mwenzio anayesema ajiuzuru hajasema katia hasara anakwambia kuuza tiketi za TFF, sasa wewe mbona ndio unasema ujinga kabisa atuzungumzii mfano tunataka fact kama mtoa hoja alivyosema. Mafanikio hayaji yenyewe kuna mtu anayapeleka hata mimi nimelinganisha performance against time namuona yuko vizuri kwa performance sasa wewe unazungumzia projection.
 
Mleta mada hajaleta vithibitisho vya tuhuma dhidi ya Mkurugenzi wa CRDB. Kwa hiyo tunachukulia kua ni majungu. Mambo ya mtaani tusiyalete humu. Kama mtu mchapa kazi kiasi hicho bado mnazulia mambo yasiyokua na msingi basi sijui mnahitaji malaika. CRDB ni mfano kwa benki za kizalendo. Kama una chuki nyingi hapa sio mahali pake.
 
Kwangu issue si kwamba nani anatatakuwa kuwajibika lakini pamoja na kamba mleta mada hajatoa vithibitisho (bila kujali against nani} lakini lililo wazi ni kwamba madai mengi kama sio yote yanafahamika in public. Sidhani kama kuna mtu wa Dar es salaam asiyeufahamu ule mradi wa mabasi ya wanafunzi... was it a viable project ama economically or socially? Manake mambo ya Kibongo bhana isije kuna mtu mabasi yake yalikuwa yanatafuta wa kumkamatia, CRDB wakaamua "kusaidiana" na wahusika! Aidha hakuna asiyefahamu sakata la electronic ticket; sijui issue yenyewe imeishia wapi!
Lakini yote hayo kwangu hayaniumizi kichwa lakini ukweli kwamba malipo mengi in favor of TPA & TRA yanafanyika CRDB si jambo la kupuuza hata kidogo! Kwa nafasi ya Kimei, si rahisi kuhusika moja kwa moja lakini Bank Staffs wanahusika kwa kiasi kikubwa sana na upigwaji dhidi ya TPA na TRA.
 
THERE U ARE
 
Ndugu Charles Kimei , nakusii kama hizo tuhuma hazikuhusu usijiuzulu ukijuuzulu tu itakuwa nongwa . mwuulize Lowasa atakambia mwenzio anajuta kujiuzulu kwa maslahi mapana ya nchi.
 
CRDB ni moja ya mabenk yanayoheshimika chini ya uongozi wa Dr Kimei.
 
CRDB ni moja ya mabenk yanayoheshimika chini ya uongozi wa Dr Kimei.
KIVIPI ;
KWA TUHUMA ZA MAKONTENA 12,000 YALIYOIBIWA TPA. NA KUSABABISHA HASARA YA BILIONI 700/= KUPITIA CRDB?????
 
CRDB mpaka hapa ilipofika Kimei ndio kaifikisha hapo anastahili pongezi sana.Ila huu uzi umekuja nao kifitina zaidi.
 
kimei kaijenga sana CRDB acheni majungu. Ila naye anakula watoto wakali sana dah
mzee Kimei, kama uko huku hili swala la kula 'watoto' liangalie kwa macho mawili. Umefanya kazi nzuri sana crdb ila la totoz kama lipo kweli acha mzee!
 
Benki kubwa kama CRDB itakosa changamoto!? Mbona Benki kuu BOT na maswala ya Escrow husemi Governor ajiuzulu!? Hata Ikulu utawala wa JK na makashfaa yote mbona hakupigania Rais awajibike!? Aidha una wivu wa kike au umetumwa

So hatuhitaji mabadiliko ya aina yoyote sasa tubaki ivi ivi tulivyo
 
Halafu eti kuna mijitu ilikuwa inampigia debe humu awe waziri wa fedha mptuuuuuu!

kwanza anavotuibia na hii crdb yake, kila kitu tunachajiwa hata kuomba salio tuu
 
Back
Top Bottom