uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,301
- 2,092
Kunyanyasa ni hulka ya mtu tuNapinga..
Ndoa ni baina ya watu wawili
Sasa na Wahindi mwanamke ndo hutoa je wawanyanyase waume waooooo h
Kunyanyasa ni hulka ya mtu tuNapinga..
Ndoa ni baina ya watu wawili
Sasa na Wahindi mwanamke ndo hutoa je wawanyanyase waume waooooo h
Je ni wanaume wote wanaoumiza wanawake pasiposababu?But sio wote wenye Tabia ulizotaja.Usigeneralize.
Ndo hivyo wanapenda kuishi kwenye ndoto yaani ukimwambia mwamke ukweli jua hautampataMpaka MTU anakudanganya ujue kaona ndo njia rahisi ya kukupata ..nyie mkidanganywa ndo mnapatikana kirahisi
Watoto unawapata kama maria avyompata YESUAngalizo kwa Wadada usije poteza chozi lako kumlilia mwanaume. Machozi yako yaweke kwa ajili ya kuwalilia wazazi wako na watoto wako
....as it reflects the Sweetness of Msweet.Thank you Msweet. What a lovely name!
Rudi ukasome tena nilichoandika manake nyie mlosoma shule za kata ni wazito sana kuelewaWatoto unawapata kama maria avyompata YESU
Nahisi ndo uliyesoma shule ya kata ndo maana unaichukia ila kumbuka shule ni madarasa tu elimu ni yako wwRudi ukasome tena nilichoandika manake nyie mlosoma shule za kata ni wazito sana kuelewa
Pole kaka kwa kupigwa. Wadada siyo watu wema, usiwaone kucheka.Mimi nimekua katili baada ya kufanyiwa upuuzi na hao unaowatetea sitaki msichana anipende wala sina mda wa kumpenda yeyote
Kumbuka tulikuzaa wewe kwa uchunguwadada wana sura za huruma, mioyo ya kikatili.
Usihangaine na expression ya nje, ni kwamba tu huwa hatuaniki sababu za kuwatenda ili kutunziana heshima na kusitiriana, ila ukija kuujua ukweli wa mambo hiyo post yako utakuja kuifuta mwenyewe
Kama haupendi kwann umfuate umuaminishe kuwa unamuhitaji akajenga iman kwako kumbe muongo naanazaje kukung'ang'ania wakat hatujuaji au hatujawa wapenzi au ww unanganganiwa hata Na wapita njia wanakutaka tu bila sababu kuna vitu umemuamisha akakuamini.
Ndo kilichomaniishwa hapo juu..
Wanawake uhuni wamelisi kwa bibi yao Hawa pale eden alipochepuka na devil, basi ile dhambi ina rithi kizazi hadi kizazi
Ukitafakar kwa undani UPI?? Acheni tamaa za kijinga. .mnajirahisisha wenyewe afu mnakuja kulia lia. Wazee wenye hekima zao wanasema usiyaamini machozi ya mwanamke ..wengi wenu ni pretenders ..