Chanzo kikuu cha wanaume kuumiza mioyo ya wadada

Chanzo kikuu cha wanaume kuumiza mioyo ya wadada

Nimesema Wanaume ni chanzo cha mateso au kuumiza.Jinsia Bado hujaijua ndugu yangu
Sasa ndugu yangu najua usha umizwa sawa sikatai, ila sasa na ninyi wanawake zetu ni manunda siku hizi hakuna mfano.

Nasema hivi tena kwa sauti kabisa ninyi pasua kichwa. Hatutakaa tuache michepuko.
Kwa nini nasema hivi;
naombe niongee kwa kukunong'oneza sikioni.

'voice muted'

Ni hiviiii ni kwambaaa na mimi na ujinga wangu wote wa kuwajua ninyi wanawake zetuuu.. Pamoja na hangaika za kuishi mbali kwa ngozi nyeupeeee..NIlishatendwaaa na mimba was..ng wakawekezaaa 😳.

Twende mbali tena muda wote huo watu wanalea mimba mjinga mimi natuma vichenj daily hadi watu wame zaa na mamiezi saba juu bado natuma tu viela. Niliporudi baada ya kujua hayo nilicheka sanaa tena sanaa nikajiona bonge la fala nimeingizwa mkenge na mtoto wa kike.

'voice unmuted'
Daaah nilimuonea imani sanaaaa nikasamehe kila kitu hapo hapo na pesa ya kuendelea kulea nikampa ili aendelee na maisha yake.

Ok Sasa endelea kutetea mada yako.
 
Sasa ndugu yangu najua usha umizwa sawa sikatai, ila sasa na ninyi wanawake zetu ni manunda siku hizi hakuna mfano.

Nasema hivi tena kwa sauti kabisa ninyi pasua kichwa. Hatutakaa tuache michepuko.
Kwa nini nasema hivi;
naombe niongee kwa kukunong'oneza sikioni.

'voice muted'

Ni hiviiii ni kwambaaa na mimi na ujinga wangu wote wa kuwajua ninyi wanawake zetuuu.. Pamoja na hangaika za kuishi mbali kwa ngozi nyeupeeee..NIlishatendwaaa na mimba was..ng wakawekezaaa 😳.

Twende mbali tena muda wote huo watu wanalea mimba mjinga mimi natuma vichenj daily hadi watu wame zaa na mamiezi saba juu bado natuma tu viela. Niliporudi baada ya kujua hayo nilicheka sanaa tana sanaa nikajiona bonge la fala nimeingizwa mkenge na mtoto wa kike.

'voice unmuted'
Daaah nilimuonea imani sanaaaa nikasamehe kila kitu hapo hapo na pesa ya kuendelea kulea nikampa ili aendelee na maisha yake.

Ok Sasa endelea kutetea mada yako.
Aisee Pole sana ndugu

Sikatai hayo kwa baadhi kutokea

Sasa tukija kwenye asilimia kubwa
Utakuta ni nyieee.

But nimejisikia vibaya sana ulivyoumizwaaa.
Huyo Dada ni pepo.Kemea pepoooo
 
Nimekuelewa .But ukitafakali kwa undani Wadada wanaumizwa sana Na wengine huamua kujikalia single tu .But naamini Mungu huwafuta machozi hata kwa kuchelewa
ni kweli, kwa upande wangu mie natongozaga wife material.. kabisa.. namlala vizuri tu.. ila yeye ndie atakae niacha mimi na sio mimi nimuache.. yeye na nikikaa katika dem mmoja sihangaiki nje.. wenyewe wanajikoroga nawapa ukweli waanapozingua wanaona aibu wananiacha zangu.. natafuta mwingine.. maisha yanasonga
 
Aisee Pole sana ndugu

Sikatai hayo kwa baadhi kutokea

Sasa tukija kwenye asilimia kubwa
Utakuta ni nyieee.

But nimejisikia vibaya sana ulivyoumizwaaa.
Huyo Dada ni pepo.Kemea pepoooo
Hapana sio pepo ni binadamu kama wewe anayestahili haki zote za msingi kama wanamke wengine.
Sasa unategemea kwa mtu anayekula na kushiba siku zote anisubiri mimi tu fala fulan tu, in vain? tena Mwaka na zaidi.
Kugongewa lazima haipingiki.

Hata mimi pia kwa kipindi hicho kirefu nachapa pia. Japo sipendi lakini
inabidi ki biologia.

Sasa papatu papatu asipate mimba umkute salama ndo pona yake na yangu, .ukikuta watu wamejaza, kwa mimi ntajicheka sanaa
kisha naanza upya.

Maana kila hatua ninayopiga najua nyuma nini kitatokea, + ama -
Ukiishi ktk sychology hii huta kaa upate presha.
 
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.

Ukweli uliopo ni kwamba

Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .

Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.

Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.

Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .

Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Ukitaka mwanaume wa namna hiyo labda uende peponi,tumeumbwa kutamani sio kupenda ndio mana mfalme suleiman alikua na wake 700 na masuria 300,sisi wanaume wa karne hii unamadem watano tu kweli hatuwatendei haki.
Tunapaswa tufike japo robo ya nabii suleiman
 
Pepoooo tokaaaaa
 
Lakini punguzeni kutuumiza
Wanawake tuna mioyo ya nyama
Mbona nyie mnaumiagaa
Ndo muone Tabia hiyo sio nzuri.
Toeni hiyo mentality.
Kusalitiana kunauma sana kwa pande zote.
Vumilieni tu hakuna namna kua mwanaume ni mtihani sana wanawake mnatutega kila kona,ukimpa mdada lift anakuomba no yako sasa mnataka tufanyaje
 
Dada yangu pole kwa kuumizwa lakini nakushauri usigawe hovyo papuchi. Humkomoi mwanaume bali unajikomoa mwenyewe na mwili wako
Nani sasa aliyegawa jamani .Huu ni uchonganishi sasa.Nimetoa utafiti tu

Wala sigawi ndugu yangu.
 
Nasisi huo uhuni ni kwa sababu unakuta tulimpenda mdada kwa uaminifu ila akatuumiza hvyo hatuna imani tena na wanawake.....half mwanamke MNA tabia za kujiskia sana mkishajua hamna mpinzani
 
Back
Top Bottom