Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,778
- 12,578
Kwa upande wangu mimi bado sijaanza hata hayo mahusiano, ila naomba kweli nitafsirieHaaaaa haaaaaaaa(muumiza wanawake kaja)
Kwa upande wangu mimi bado sijaanza hata hayo mahusiano, ila naomba kweli nitafsirieHaaaaa haaaaaaaa(muumiza wanawake kaja)
hata ivo huwa mnajisaulisha tu, haimanishi mtu kukuumiza basi hayupo mbadala wake wa kukuponya.When Nothing Goes Right Go Left!!! I Love This Statement.... [emoji8][emoji7]
Sawasawa iyo ndo muhimuKweli kabisa.Tabia hutofautiana.Na binadamu kila MTU ana mapungufu .Mfano.Ukijua mpenzi wako ana Gubu ukimjulia akianza Kubwabwaja.Unakaa kimyaaa .Au kuna MTU akianza kuongelea ishu ya zamani ataongeeaaaa.Wewe Mezea mat
Ndio..nawambiaga humu.....moyo wa mwanamke ni Royal, ila akibadilika mweeee utamuona hafaiMbona wapo walioelewa ndo mana mjadala unaendeleaaa.Ni kwamba Mara nyingi Usugu au ukatili wa wanawake kwenye Mapenzi na kuonekana hawafai hutokana na Wakaka kuwaumiza.Wanajitoa uthamani na wengine hupata Uchizi wa akili.
Nimimi nmekupenda weweHaaaaa haaaaa haaaa Nani huyo Seriously!!
Sijamuona ngoja nimtafute.Huenda kapendaa mada.
Halafu na weweeeeee khaaa!!
Umeyagundua vipi haya......nisiyoyagundua Mimi!
Ni mimi mkuu..nataka nimpige mistar, mtoto mzuri huyoNaona kuna mzee baba anatembeza like tu kwa mtoa mada
Walikufa wote vita vya pili vya duniaNi Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Kwenye mapenzi ni atakayemuwahi mwenzake si mwanamke wala si mwanaume wote tunaumizana tuKwa jinsi wanawake akili zenu zilivyo kuumizwa hua mnajitakia wenyewe, na hilo halikwepeki, mtaumizwa sana tu na mtaendelea kuumizwa na mimi nasema muumizwe tu, mara maana hakuna namna sasa.
Wewe mtu hakupendi eti kisa tu wewe unampenda basi unamng'ang'ania utafikiri mzazi wako. Unaamini ipo siku atakupenda.
Wanawake jkishampenda mtu hata kama yeye hakupendi wewe utamng'ang'ania tu. Mwisho mnasema mmeumizwa, sasa kama hakupendi ulitegemea asikuumize?
Muwamba ngoz huvutia kwake kama ni kuingia mbinguni wanawake wataanza kubaki dunianiNakataa sio Kweli .Wewe ulivyomuumiza mpenzi wako wa kwanza alikukosea nini au ulimchoka tu?? Wa pili wa tatu. ...nao walikuwa Na Tabia mbaya. Wanaume hamuingii mbinguni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wanaonekana kuumia zaidi lakin sio wanaumia zaidi kisa mwanaume hatoi machozi kizembe haimaanishi hatuumiiiNimekuelewa .But ukitafakali kwa undani Wadada wanaumizwa sana Na wengine huamua kujikalia single tu .But naamini Mungu huwafuta machozi hata kwa kuchelewa
Wanaume wengi wanaumizwa sana mbona kama huyo jamaa hapo ingekuwa aliyeumizwa japo ni mwanamke angepiga kelele mpaka jamii nzima inajua kuna mtu kaumizwa lakin jamaa hata hakuongea zaid alijicheka tu, ishu ndo hivyo matukio ya wanaume kuumizwa hayapati umaarufu maana hulia kimoyomoyo na yanaisha ila mwanamke machoz yake kila mtu anayaona,binafsi kabla sijaiingia kwenye mahusiano nlijiahidi ntakuwa na mwanamke mmoja na ntampa furaha nlikuwa nachukia sana mwanaume anahit na kurun au kuikataa mimba lakin nlipojionea dah, nliona walikuwa sahihi yaani kuamini mwanamke kuwa mimba ni yako yahitaji moyo sana unaweza tunza mtu kumbe mpo hata wanne mnatunza mtu mmoja na mimba mojaAisee Pole sana ndugu
Sikatai hayo kwa baadhi kutokea
Sasa tukija kwenye asilimia kubwa
Utakuta ni nyieee.
But nimejisikia vibaya sana ulivyoumizwaaa.
Huyo Dada ni pepo.Kemea pepoooo
Mie mwenyewe Baba !! kwan kaweka tego au?Wewe utachapwa viboko na Baba yako
Kwasasa nikuwahiana tu tuache kudanganyana kutamani kupo nakupenda pia kupo maamuzi ni yako ucheze hiyo kamari au ukae mbali,Kwa hiyo Sisi Wadada tukubari yaishe kwamba mmezaliwa kuumiza wadada kwa kigezo hicho.
Sawa
Na hili kundi lipo yaani kuamini mwanamke hase kwangu ni ngumu sana nlishawahi kuamini mara kadhaa lakin yaani kati ya mambo mia aliyosema mambo matatu hadi saba ndo ukweli mengine yote uwongoNasisi huo uhuni ni kwa sababu unakuta tulimpenda mdada kwa uaminifu ila akatuumiza hvyo hatuna imani tena na wanawake.....half mwanamke MNA tabia za kujiskia sana mkishajua hamna mpinzani
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Usiegemee upande wako kama ww upo vizuri kuna wanawake wenzako ni makatili sana kwenye mapenziKuna wakati hawa ndugu zetu wa Kiume ni kuwaonea tu huruma( hawajui bila kuwepo sisi Raha Duniani hawana?? Ila wanayotufanyia mpaka shetani anaogopa.