Hao wanawake single wanapatikana sayari gani ?Nimekuelewa .But ukitafakali kwa undani Wadada wanaumizwa sana Na wengine huamua kujikalia single tu .But naamini Mungu huwafuta machozi hata kwa kuchelewa
100Kwa jinsi wanawake akili zenu zilivyo kuumizwa hua mnajitakia wenyewe, na hilo halikwepeki, mtaumizwa sana tu na mtaendelea kuumizwa na mimi nasema muumizwe tu, mara maana hakuna namna sasa.
Wewe mtu hakupendi eti kisa tu wewe unampenda basi unamng'ang'ania utafikiri mzazi wako. Unaamini ipo siku atakupenda.
Wanawake jkishampenda mtu hata kama yeye hakupendi wewe utamng'ang'ania tu. Mwisho mnasema mmeumizwa, sasa kama hakupendi ulitegemea asikuumize?
mnajitakia wenyewe kabisaa...Nakataa sio Kweli .Wewe ulivyomuumiza mpenzi wako wa kwanza alikukosea nini au ulimchoka tu?? Wa pili wa tatu. ...nao walikuwa Na Tabia mbaya. Wanaume hamuingii mbinguni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ukitafakar kwa undani UPI?? Acheni tamaa za kijinga. .mnajirahisisha wenyewe afu mnakuja kulia lia. Wazee wenye hekima zao wanasema usiyaamini machozi ya mwanamke ..wengi wenu ni pretenders ..Nimekuelewa .But ukitafakali kwa undani Wadada wanaumizwa sana Na wengine huamua kujikalia single tu .But naamini Mungu huwafuta machozi hata kwa kuchelewa
Hugawi eeh !! Mbona sio b.kNani sasa aliyegawa jamani .Huu ni uchonganishi sasa.Nimetoa utafiti tu
Wala sigawi ndugu yangu.
Hakuna...nyie mnajirahisisha kwa watu wenye pesa zao na kujiaminisha n wapenzi wenu ..kumbe mnajua fika either ana MTU wake au n mume wa MTU ..mkija kuachwa mnaanza kujilizaKama haupendi kwann umfuate umuaminishe kuwa unamuhitaji akajenga iman kwako kumbe muongo naanazaje kukung'ang'ania wakat hatujuaji au hatujawa wapenzi au ww unanganganiwa hata Na wapita njia wanakutaka tu bila sababu kuna vitu umemuamisha akakuamini.
Ndo kilichomaniishwa hapo juu..
Noma sanaWanawake uhuni wamelisi kwa bibi yao Hawa pale eden alipochepuka na devil, basi ile dhambi ina rithi kizazi hadi kizazi
Kuna wakati hawa ndugu zetu wa Kiume ni kuwaonea tu huruma( hawajui bila kuwepo sisi Raha Duniani hawana?? Ila wanayotufanyia mpaka shetani anaogopa.Sio kweli,niwe Na mahusiano Na wewe wakati najua una mwanamke wako ili iweje ukiona ivyo uyo mwanamke Malaya Na vipi ambao hawana pesa Na ukakubali kuwa nae kimahusiano napo umefuata nini Na bado akakunyanyasa.
Sio Kweli.Na unajua Ukweli unaujuaNyiee ni Waongoooo sana.Ukitafakar kwa undani UPI?? Acheni tamaa za kijinga. .mnajirahisisha wenyewe afu mnakuja kulia lia. Wazee wenye hekima zao wanasema usiyaamini machozi ya mwanamke ..wengi wenu ni pretenders ..
Kumbuka mdada ndo Mama baadaye kwa uliyoelezaa ungezaliwa na ukanyonyaaa?? Kila sex INA watu wachache wabayawadada wana sura za huruma, mioyo ya kikatili.
Usihangaine na expression ya nje, ni kwamba tu huwa hatuaniki sababu za kuwatenda ili kutunziana heshima na kusitiriana, ila ukija kuujua ukweli wa mambo hiyo post yako utakuja kuifuta mwenyewe
Kinyume chake ni kweli. Halafu kumbuka licha ya haki sawa mnazolilia, hakuna wakati ambapo mwanamke ataamua eti "liwalo na liwe." Ndoa ni ya mwanamume na ndio maana mume anatoa talaka ilhali mke anadai talaka. The difference is clear.Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Aiseee.Mfume Dume huuKinyume chake ni kweli. Halafu kumbuka licha ya haki sawa mnazolilia, hakuna wakati ambapo mwanamke ataamua eti "liwalo na liwe." Ndoa ni ya mwanamume na ndio maana mume anatoa talaka ilhali mke anafai talaka. The difference is clear.
Ukijidanganya kuniadhibu kwa kufanya umalaya ujue ni tabia yako. Nakufukuza, period!