Chanzo kikuu cha wanaume kuumiza mioyo ya wadada

Chanzo kikuu cha wanaume kuumiza mioyo ya wadada

Kumbe Na nyie mnajijua ni Waume wa watu lakini mnakubari kwenda kurahisishiwa???kumbe mu Dhaifu hivyo?
Hakuna...nyie mnajirahisisha kwa watu wenye pesa zao na kujiaminisha n wapenzi wenu ..kumbe mnajua fika either ana MTU wake au n mume wa MTU ..mkija kuachwa mnaanza kujiliza
 
Sio kweli,niwe Na mahusiano Na wewe wakati najua una mwanamke wako ili iweje ukiona ivyo uyo mwanamke Malaya Na vipi ambao hawana pesa Na ukakubali kuwa nae kimahusiano napo umefuata nini Na bado akakunyanyasa.
Wanaotetea mada hii Na kukubari wanawake kunyanyasika badala ya kukemea ndo wanaoongoza kuumiza.Wala usijali.Watapata Pigo tu
 
Nothing like that
Wanawake ndio husababisha haiwezekani kila ukipigiwa unaumwa, kodi imeisha unahamu ya chipsi nitumie vocha kwahyo lazima akutumie zikiisha anatafuta size ndogo kiufupi mnajiuza kisirisir
 
Kinyume chake ni kweli. Halafu kumbuka licha ya haki sawa mnazolilia, hakuna wakati ambapo mwanamke ataamua eti "liwalo na liwe." Ndoa ni ya mwanamume na ndio maana mume anatoa talaka ilhali mke anadai talaka. The difference is clear.

Ukijidanganya kuniadhibu kwa kufanya umalaya ujue ni tabia yako. Nakufukuza, period!
Hujaelewa.
Yaani baadhi huwamua hivyo baada ya kuumizwa sana sana Na waliowaamini..
Mfano Sasa ninyi Wanaume mmeanzisha mtindo mbaya sana
Mnalazimisha .........kwa wapenzi wenu wasema tabia hiyo Mungu alikataza anaanza visa .
Aiseee.Mungu peke yake ndo atawahukumu.
 
Mwanamke utamtimizia mambobyote muhimu:
1. Utamchumbia kati ya wengi
2. Utamjengea heshima kwa kumuoa
3. Utamtimizia mahitaji yote muhimu ndani ya nyumba
4. Utamsugua vizuri tu mpaka
5. Utampatia mtaji wa biashara
6. Utatunza ndugu na wazazi
7. Utamwachia atawale uchumi wa familia

Lakini Bado atakuhukumu kwa kutomwambia umependeza. Hilo tu litamfanya ageuzwe mchepuko wa mwanamume mwenye familia na maisha yake. Atarudi kwa hawara ambaye wala hawezi kuthubutu kumuoa. Atakudharau na kukukashifu kwa sababu ya hilo tu. Ndio ndoa za kisasa hizo.
Usiharalishe ubaya uliofanyiwa Na MTU A kwenda MTU B bila B kukukosea.
Do not Generalize!
 
Mimi Wanawake nishaambiwa niishi nao kwa akili maana akili zao wanazijua wenyewe, na ndio maana hakuna sehemu inasema ishi na Mwanaume kwa akili kwakuwa sisi from God tupo cool, uliza timbwili la Adam na Hawa kule bustanini nani kaanzisha!?
 
Kwahyo chanzo cha wanaume kuumiza wadada ni kipi sasa kama kichwa cha uzi kilivyo?
Maake naona umeenda Op
 
Kwa hiyo unaona Raha kumdanganya mdada wa watu.??halafu unafaidika Na nini.Maana yake mwisho wa siku unajua utamuumiza.Huna wako ukatulia naye.Maskini wanawake wenzangu .Angalieni Watu tunaowaamini.Ni kuomba tu
Mpaka MTU anakudanganya ujue kaona ndo njia rahisi ya kukupata ..nyie mkidanganywa ndo mnapatikana kirahisi
 
Sio wote.Na ukiona huyo ujue labda kuna kitu umemkosea but hujatambua.Maana ni kila ndoto ya Mdada kupata MTU wa karba iyo.Every woman's dream to have someone like that.
Naomba ukasome vitabu kuhusu women mind games au shit tests. Utagundua kwann wanawake wengi ni chanzo cha kusalitiwa wenyewe.

Mwanamke ukimpenda ukishazama kwenye love na anajua hapa uchomoi anaanza kukuchezea mind games, mara akususe, mara akudharau au akushushe hadhi maana anajua huendi mahali?

Hivi vijitabia akina dada huwa vinawaponza mno. Nishakuwa na wanawake waaminifu mwanzon ila nikishaonyesha kuwapenda jini kisiran linaamka. Wakija kutulia wanakuta too late.
 
Ntajaribu kubadilika ,japo nimeshakua sugu kama konki master
 
Kama umenielewa vyema, ni kwamba sikatai unachosema, ila pia hakuna hata ya kuwatetea sana kana kwamba wao hawakosei, si kila mwanamke anayeachwa au kuumizwa kaonewa, wengi wao wenyewe ndio huwa chanzo. Mwanaume ukiona mdada anazingua zingua bora kumuacha tu atakuja kupata wa kufanana naye ambaye wataendana, kuliko kufa na tai shingoni kisa usimuumize
IPO hivi..
Kama mmeshindwana why usimwambie jamani kila MTU achukue muda wake?

Kinachouma upo naye bado anapoteza time,energy believing you are together while not.
Why pretending?
 
Ni Kweli anajiongezea Tatizo but hii hutokana Na effect ya kuumizwa.But hupoa baadaye
Nikweli kabisa mtoa mada.

Mwanamke aloumizwa wengi wao huiacha akili pemben nakuishia kuendeshwa kwa Hasira hali inayofanya waishie kua wahuni wa kupindukia

Sema.... Sidhan mtu akikuacha basi inaweza kukupa sababu ya kuhangaika na wanaume ,unajiponya au unaongeza tatizo???
 
Kwa hiyo unaona Raha kumdanganya mdada wa watu.??halafu unafaidika Na nini.Maana yake mwisho wa siku unajua utamuumiza.Huna wako ukatulia naye.Maskini wanawake wenzangu .Angalieni Watu tunaowaamini.Ni kuomba tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejibu kutokana na mada..but kiuhalisia siko hvyo.
 
IPO hivi..
Kama mmeshindwana why usimwambie jamani kila MTU achukue muda wake?

Kinachouma upo naye bado anapoteza time,energy believing you are together while not.
Why pretending?
wapo ambao hata ukifanya hivyo unavyosema bado wataumia tena sana tu, watalia hao mwezi mzima. Tukubali tu mahusiano/mapenzi hayana fundi, hayana kanuni. Unaweza penda mtu siku moja, ya pili mkaachana na bado mtu akaumia sana tu.
 
Kumbuka tulikuzaa wewe kwa uchungu
I know, na hakuna sehemu nime disvalue thamani ya mwanamke hapo.
Ukweli ni hivyo, wanawake nao wanakosea sana, wanachangia sana kuharibu mahusiano hakuna utofauti na wanaume.
Utofauti ni kwamba baada ya kuachana, wanawake wengi huwa wanatia huruma na kulia sana wakati wanaume wanaugulia maumivu kimoyomoyo na kuonesha uso wa furaha. Ndio hapo watu kwa nje wanaona wanaume wanaumiza wanawake
 
Mi nadhani sababu ni very simple.

Unrealistic expectations. We women tukipenda we fall so fast, so deep and before we know it we are struggling to stay afloat kwenye mapenzi.

Matokeo yake tunaishia kutumiwa vibayaaa, tunaumizwaaa
 
Back
Top Bottom