pokrei
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 510
- 454
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu