Mmmh.Hata Mimi nilisikia sikia Huyo Irene Paul alimpindua mwenzio.Japo husema bwana mpaka anapinduliwa anakuwa ameyataka.Maana INA mana hajui .Au ndo anakuwa ameendewa kwa Gambambile?(witchdoctors)
Ila muhimu kusameheana.Kumwambia mpenzi usichopenda.Mana utaacha wangiapi jamani na Maukimwi haya
Hayazungumziki.Mana hata huko utakapoenda atakosea kama binadamu.So utakuwa unaaacha tu.Basi ni tatizo kubwa.Wazee wetu wa Zamanj walivulimiana sana.Sio wa leo
Hapo sawa.Ila kina haya madogo madogo.Sijui MTU kuongea sana na kupiga picha au MTU anayenuna.Au MTU anapenda Sex kila Mara au anapenda sana kuangalia Mpira..Sasa Vitu vidogo vidogo Si vya kurekebishana.Hayo ya kufumaniana Kweli.Je haya ya kihulka na tabia.Tuvumilane.Mkuu tunatofautiana viwango vya uvumilivu, japo ni vyema kuzungumza ili yaishe, kuna mambo huwa kuyavumilia ni magumu, mfano mume umfumanie mke live tana katika hali ambayo ulikuwa unampenda hata maandiko matakatifu yanakiri huo ugumu
"Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini"
Mathayo 19:9
When Nothing Goes Right Go Left!!! I Love This Statement.... 😘😍Jamani.Kweli wewe ulikuwa wapi??Ushauri wako ni wa karne.
Eti mpaka mtu unakonda.Why??Raha jipe mwenyewe maisha yenyewe mafupi.When Nothing Goes Right Go Left!
Hapo sawa.Ila kina haya madogo madogo.Sijui MTU kuongea sana na kupiga picha au MTU anayenuna.Au MTU anapenda Sex kila Mara au anapenda sana kuangalia Mpira..Sasa Vitu vidogo vidogo Si vya kurekebishana.Hayo ya kufumaniana Kweli.Je haya ya kihulka na tabia.Tuvumilane.
Ahaaahaaaa!! Eeeyaaaaa!!! Maana nikisema "uwiiiii" nitaonekana mnoko! Waiter leta nyingine[emoji127]When Nothing Goes Right Go Left!!! I Love This Statement.... [emoji8][emoji7]
Mbona hueleweki wewe, hiko chanzo kikuu ni kipi sasa?Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Naomba nitafsrie huo msemo na maana yakeWhen Nothing Goes Right Go Left!!! I Love This Statement.... 😘😍
Hayo madogo madogo, ni ya kuongea tu yanaisha, maana kimsingi tunajua hakuna mwanaume atakuja kupata mwanamke atakayemridhisha kwa kila kitu, na hivyo hivyo hata kwa wanawake.
Mbona wapo walioelewa ndo mana mjadala unaendeleaaa.Ni kwamba Mara nyingi Usugu au ukatili wa wanawake kwenye Mapenzi na kuonekana hawafai hutokana na Wakaka kuwaumiza.Wanajitoa uthamani na wengine hupata Uchizi wa akili.Mbona hueleweki wewe, hiko chanzo kikuu ni kipi sasa?
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .
Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.
Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.
Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .
Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Ina maana huoni alert?Haaaaa haaaaa haaaa Nani huyo Seriously!!
Sijamuona ngoja nimtafute.Huenda kapendaa mada.
Halafu na weweeeeee khaaa!!
Umeyagundua vipi haya......nisiyoyagundua Mimi!