Chanzo kikuu cha wanaume kuumiza mioyo ya wadada

Wanawake ndio husababisha haiwezekani kila ukipigiwa unaumwa, kodi imeisha unahamu ya chipsi nitumie vocha kwahyo lazima akutumie zikiisha anatafuta size ndogo kiufupi mnajiuza kisirisir
Sio wote kwa hilo.Sasa Sababhii ndo umuumize kwa kuchepuka?
 
Mwanamke utamtimizia mambobyote muhimu:
1. Utamchumbia kati ya wengi
2. Utamjengea heshima kwa kumuoa
3. Utamtimizia mahitaji yote muhimu ndani ya nyumba
4. Utamsugua vizuri tu mpaka
5. Utampatia mtaji wa biashara
6. Utatunza ndugu na wazazi
7. Utamwachia atawale uchumi wa familia

Lakini Bado atakuhukumu kwa kutomwambia umependeza. Hilo tu litamfanya ageuzwe mchepuko wa mwanamume mwenye familia na maisha yake. Atarudi kwa hawara ambaye wala hawezi kuthubutu kumuoa. Atakudharau na kukukashifu kwa sababu ya hilo tu. Ndio ndoa za kisasa hizo.
Nasisi huo uhuni ni kwa sababu unakuta tulimpenda mdada kwa uaminifu ila akatuumiza hvyo hatuna imani tena na wanawake.....half mwanamke MNA tabia za kujiskia sana mkishajua hamna mpinzani
 
Mwanamke utamtimizia mambobyote muhimu:
1. Utamchumbia kati ya wengi
2. Utamjengea heshima kwa kumuoa
3. Utamtimizia mahitaji yote muhimu ndani ya nyumba
4. Utamsugua vizuri tu mpaka
5. Utampatia mtaji wa biashara
6. Utatunza ndugu na wazazi
7. Utamwachia atawale uchumi wa familia

Lakini Bado atakuhukumu kwa kutomwambia umependeza. Hilo tu litamfanya ageuzwe mchepuko wa mwanamume mwenye familia na maisha yake. Atarudi kwa hawara ambaye wala hawezi kuthubutu kumuoa. Atakudharau na kukukashifu kwa sababu ya hilo tu. Ndio ndoa za kisasa hizo.
But sio wote wenye Tabia ulizotaja.Usigeneralize.
 
Angalizo kwa Wadada usije poteza chozi lako kumlilia mwanaume. Machozi yako yaweke kwa ajili ya kuwalilia wazazi wako na watoto wako
 
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.

Ukweli uliopo ni kwamba

Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .

Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.

Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.

Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .

Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu
Naomba ukasome vitabu kuhusu women mind games au shit tests. Utagundua kwann wanawake wengi ni chanzo cha kusalitiwa wenyewe.

Mwanamke ukimpenda ukishazama kwenye love na anajua hapa uchomoi anaanza kukuchezea mind games, mara akususe, mara akudharau au akushushe hadhi maana anajua huendi mahali?

Hivi vijitabia akina dada huwa vinawaponza mno. Nishakuwa na wanawake waaminifu mwanzon ila nikishaonyesha kuwapenda jini kisiran linaamka. Wakija kutulia wanakuta too late.
 
Kumbuka mdada ndo Mama baadaye kwa uliyoelezaa ungezaliwa na ukanyonyaaa?? Kila sex INA watu wachache wabaya

Kama umenielewa vyema, ni kwamba sikatai unachosema, ila pia hakuna hata ya kuwatetea sana kana kwamba wao hawakosei, si kila mwanamke anayeachwa au kuumizwa kaonewa, wengi wao wenyewe ndio huwa chanzo. Mwanaume ukiona mdada anazingua zingua bora kumuacha tu atakuja kupata wa kufanana naye ambaye wataendana, kuliko kufa na tai shingoni kisa usimuumize
 
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.

Ukweli uliopo ni kwamba

Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu Na watiifu sana sana kwenyeMahusiano .

Fatilieni wadada walioumizwa hudevelop Tabia ya Uhuni uliopitiliza baada ya kuumizwa.

Unakuta Mdada wa Watu kajitunza, kawakataa wengi anakuja gundua mpenzi wake ana uchumba Na MTU mwingine tena bila ya kumkosea Na Bado yupo naye..
Huyo Mdada akitokea kwa hali hiyo anakuwa katili wa mapenzi.

Enyi wababa/ wakaka Badilikeni .

Mana kuna faida kubwa kwenye Uaminifu

mapenzi hayana kocha.ukijua hilo basi
 
Nikweli kabisa mtoa mada.

Mwanamke aloumizwa wengi wao huiacha akili pemben nakuishia kuendeshwa kwa Hasira hali inayofanya waishie kua wahuni wa kupindukia

Sema.... Sidhan mtu akikuacha basi inaweza kukupa sababu ya kuhangaika na wanaume ,unajiponya au unaongeza tatizo???
 
Jamani.Kweli wewe ulikuwa wapi??Ushauri wako ni wa karne.
Eti mpaka mtu unakonda.Why??Raha jipe mwenyewe maisha yenyewe mafupi.When Nothing Goes Right Go Left!
 
Nilikuwapo tu mwingiii abna , alafu nunajua PM yangu sijui ilikuaje yaan nikifungua haionyeshi cha PM wala nn!!
 
Back
Top Bottom