pokrei
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 510
- 454
- Thread starter
- #81
Hayazungumziki.Mana hata huko utakapoenda atakosea kama binadamu.So utakuwa unaaacha tu.Basi ni tatizo kubwa.Wazee wetu wa Zamanj walivulimiana sana.Sio wa leoKama umenielewa vyema, ni kwamba sikatai unachosema, ila pia hakuna hata ya kuwatetea sana kana kwamba wao hawakosei, si kila mwanamke anayeachwa au kuumizwa kaonewa, wengi wao wenyewe ndio huwa chanzo. Mwanaume ukiona mdada anazingua zingua bora kumuacha tu atakuja kupata wa kufanana naye ambaye wataendana, kuliko kufa na tai shingoni kisa usimuumize