Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Jamani hivi Serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata kama sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu?

Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kwa budget mnataka kushare chumba halafu mnazuiliwa au pia mna kazi ya kufanya mnahitaji kuwa pamoja muda wote.

Pia hata kwa mwanaume na mwanamke mkitaka vyeti vya ndoa; jamani kuna mambo mengi oia yamekatazwa kati ya mume na mke pia mf anal sex, oral sex, mwanamke kuvaa strap on dildo na kumfanya mwanaume etc yote hayo mtajuaje?

Mtu na kaka yake, mtu na dada yake wote wanaathiriwa coz ya hofu yenu ya ushoga which by the way haihitaji masaa 8 kufanya ngono bali dakika chache tu.

Nyie sisitizeni na public morality au mashauzi yasiwe mengi na hadharani pia muwe wakali mkiona mtu mzima sana sana mwanaume anaingia na mtoto au kijana mdogo anayeonekana below 18 years kuzuia pedophilia au pederasty.
 
Jamani ivi serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata km sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu?

Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kw budget mnataka kushare chumba alafu mnazuiliwa au pia mna kazi ya kufanya mnahitaji kuwa pamoja muda wote.

Pia hata kwa mwanaume na mwanamke mkitaka vyeti vya ndoa; jaman kuna mambo mengi oia yamekatazwa kati ya mume na mke pia mf anal sex, oral sex, mwanamke kuvaa strap on dildo na kumfanya mwanaume etc yote hayo mtajuaje?

Uko sahihi sana ila kwa hali ilivyo sasa on the ground mambo ni tofauti kabisa.. Wajuba wanagawa viboga kama hawana akili nzuri.. Na hili tangazo la Serikali sidhani kama litasaidia sana, maana hizi mambo wahusika wanafanya na wahudumu wa hizo nyumba za wageni... Labda uwe mgeni ndio utazinguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ivi serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata km sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu?

Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kw budget mnataka kushare chumba alafu mnazuiliwa au pia mna kazi ya kufanya mnahitaji kuwa pamoja muda wote.

Pia hata kwa mwanaume na mwanamke mkitaka vyeti vya ndoa; jaman kuna mambo mengi oia yamekatazwa kati ya mume na mke pia mf anal sex, oral sex, mwanamke kuvaa strap on dildo na kumfanya mwanaume etc yote hayo mtajuaje?

Mtu na kaka yake, mtu na dada yake wote wanaathiriwa coz ya hofu yenu ya ushoga which by the way haihitaji masaa 8 kufanya ngono bali dakika chache tu.

Nyie sisitizeni na public morality au mashauzi yasiwe mengi na hadharani pia muwe wakali mkiona mtu mzima sana sana mwanaume anaingia na mtoto au kijana mdogo anayeonekana below 18 years kuzuia pedophilia au pederasty.
Fuata maelekezo yaliyowekwa. Usiturudishe karne ya 20 hapa. Sidhani kama wewe na huyo rafiki yako mnakosa hela ya kulala vyumba tofauti. Unless otherwise una ajenda yako ya siri.
 
Uko sahihi sana ila kwa hali ilivyo sasa on the ground mambo ni tofauti kabisa.. Wajuba wanagawa viboga kama hawana akili nzuri.. Na hili tangazo la serikali sidhani kama litasaidia sana, maana hizi mambo wahusika wanafanya na wahudumu wa hizo nyumba za wageni... Labda uwe mgeni ndio utazinguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu si lazima wafanye loji hata kwenye nyumba ya kupanga ya vyumba sita wakitaka watafanya, ndani ya gari watafanya, ndani ya nyumba ya ibada watafanya na hata ndani ya vyumba vya ikulu watafanya, nchi isiendeshwe kama shule ya bweni ambako nako wanafanya pamoja na walimu kudhibiti.
 
Uko sahihi sana ila kwa hali ilivyo sasa on the ground mambo ni tofauti kabisa.. Wajuba wanagawa viboga kama hawana akili nzuri.. Na hili tangazo la serikali sidhani kama litasaidia sana, maana hizi mambo wahusika wanafanya na wahudumu wa hizo nyumba za wageni... Labda uwe mgeni ndio utazinguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Sheria haijawahi kuzuia dhambi, wafiranaji wataenda hata vichakani, kumbuka wale Machoko wa Zanzibar wamekulana selo
 
Wako sahihi, huku kwa ground ushenzi umezidi. Unataka ulale na rafiki yako ili iweje? Na wengi wanasingizia kupunguza gharama.

Sasa kwa kuwa hatujui nani mkweli na nani ni muongo, ni bora msilale pamoja.

Halafu inakuingia akilini nyote mnamatango (elewa maana ya neno tango) kwenye boksa halafu mlale pamoja? Hata hujishtukii?

Hata huku mtaani tu kama wanaume wawili mnakaa ghetto moja na hamna undugu wa damu, kuna tatizo hapo.
 
Jamani hivi serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata km sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu?

Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kw budget mnataka kushare chumba alafu mnazuiliwa au pia mna kazi ya kufanya mnahitaji kuwa pamoja muda wote.

Pia hata kwa mwanaume na mwanamke mkitaka vyeti vya ndoa; jaman kuna mambo mengi oia yamekatazwa kati ya mume na mke pia mf anal sex, oral sex, mwanamke kuvaa strap on dildo na kumfanya mwanaume etc yote hayo mtajuaje?

Mtu na kaka yake, mtu na dada yake wote wanaathiriwa coz ya hofu yenu ya ushoga which by the way haihitaji masaa 8 kufanya ngono bali dakika chache tu.

Nyie sisitizeni na public morality au mashauzi yasiwe mengi na hadharani pia muwe wakali mkiona mtu mzima sana sana mwanaume anaingia na mtoto au kijana mdogo anayeonekana below 18 years kuzuia pedophilia au pederasty.
Hiyo isikuzuie kala kina delicious, mpe delicious achukue chumba jirani na chako, ukiona kumetulia Zama ndani kwake mzabe makofi mpaka hamu ikuishe. Kesho Rudi kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom