Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Eti shitholes hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha haahhaaaaha
Mtoto akamtukane babaye na mamaye????? Mtizameni mtoto, mwoneni atakapodondokea.....!!!!!!???
 
Waswahili haaaa, shida gani, kibuyu Cha asali njenje, ndio sababu hatukuwa na tabia hizo, hadi zilipofika dini hizi za kishetani, ndoa ya mke mmoja ilkuwa agenda ya wayahudi kupunguza idadi ya wasio wayahudi duniani, ukimwi ebola wanatutengenezea, na Sasa wametuletea homa ya ini waswahili, jamani amkeni turudie asili zetu, maumble hayakosei


Umenena vizuri.
 
Back
Top Bottom