Channel Ten: Mchungaji Antony Lusekelo azungumzia Kuchinja!

Status
Not open for further replies.
Jana nimefuatilia kipindi chake mwanzo hadi mwisho, kanifurahisha sana sana kwa namna alivotoa hoja za msingi juu ya kuchinja, huku akinukuu vipengele vya bible (warum 14;31) nk, na pia akanukuu moja ya hadith ktk uislamu, aliwananga bila hata kificho wale wote wanaotafuta namna ya kutofautisha watu kwa imani zao huku akitoa mfano wa somalia nk..
hii sio mara ya kwanza lusekelo kukemea wale wanao endekeza kuharibu amani tuliyo nayo,nakumbuka siku moja alialikwa kama sio ITV ilikuwa TBC, very good brother.....
kasoro moja tu aliyonayo ni kujisifu kuliko pitiliza, by the way viongozi wa dini zote wanapaswa kupima maneno yao kabla hawajawaletea waumini wao, kwa mfano kuna jamaa anajita shehe Ilunga, huyu anapaswa akaungane na sheh ponda kulupango,
wabillah taufiq

Mkabidhini kanzu na msikiti kabisa. Huyo ni mwenzenu tangu zama za shehe Yahya.
 
Hiyo red inazungumzia sanamu, sasa ni nani anaye endesha ibada ya sanamu kati ya Ukiristo na Uislaam ?

I am sorry, but Allah ni sanamu katika tafsiri ya kibiblia. Kitu chochote kinachojiinua juu ya Mungu au sawa na Mungu wa kweli ni sanamu. Allah ni fallen angel.
 
unapenda viongozi wanaoegemea upande mmoja?, ngoja nikwambie, zamani wakristo walikuwa hawana ufahamu kuwa kwa waislam, kuchinja ni sehemu ya ibada....sasa baada ya kufahamu hilo, inakuwa ngumu mkristo kula kitu ambacho kimechinjwa kwa ibada ya kiislam, yani ni sawa na kumshirikisha katika ibada yenu, na sote tunajua kuwa ibada za kiislam ni za kishetani, na wakristo na mashetani na majini hawaelewani, asa kwa nini mtushirikishe?? umeelewa ndugu??

Haina noma, je nyinyi kuchinja ni sehemu ya ibada. Najua nyie ndio zao la pandikizi la chuki dhidi ya Uislamu. Tatizo la kuhudhuria ibada katika Makanisa Vitega Uchumi.

Elewa ndugu yangu, Ujinga wenu na chuki zenu nyinyi wakristo wachache italifikisha nchi pabaya. Tunaenda ni huku. Mabucha ya Halal Meat na Mabucha ya Nguruwe.Halal Hotel na Nguruwe Hotel. Halal Mama ntilie na Kitimoto Mama ntilie. Hiyo just to begin with.

Ndugu yangu, hata kama mimi ningekua Mkristo, ningekua nafanya Maamuzi kwa kuzingatia COST BENEFIT ANALYSIS.

MZEE WA UPAKO, MZEE PINDA NA MZEE STEVEN WASIRA MTAKUJA KUWAKUMBUKA NA KUSAGA MENO.
 
Tatizo hakuruhusu maswali. ningekutuma umwulize hili:

1kor 10:27 Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri. 28 Lakini kama mtu ye yote akikuambia, “Hiki kimetolewa kafara kwa sanamu,” basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri.

ndugu Mohamedi Mtoi shida ipo hapo kwenye red, na tatizo limekuwa kubwa baada ya waislam kutangaza wazi kuwa kuchinja ni ibada. Ibada ya namna hiyo kwa mkristo ilisha komeshwa na ujio wa YESU KRISTO. Thus kula nyama iliyochinjwa kwa minajili ya Ibada, ni sawa na wewe umeshiriki ibada ile. Hii hairuhusiwi pamoja na kwamba tumeagizwa upendo.

Onyo, Mohamedi Mtoi, wewe ni kati ya watu wanaoheshimika sana hapa JF. Angalia uzi huu ulioanzishwa usije kukushua heshima.

Mkuu nahisi hujafahamu unachokizungumza. Unafasiri mistari kuvutia upande wako (biased).

Ibada uliyoitaja "kafara ya sanamu" inapigwa vita na uislamu na ni haram kula kila kilichochinjwa kisichokuwa kwa minajili ya MUNGU (dhamiri), hapo waislam na waristo wote wanakubaliana.

Pia neno "IBADA" kwa waislam ni kila jambo linalomridhisha MUNGU. Na kila wakati binadam anatakiwa awe ktk ibada kwa kuwa MUNGU kasema "sikuwaumba majini na watu (kwa sababu nyingine) bali waniabudu tu"

Hivyo ndugu yangu usitishike na neno ibada kwa upana wake kwa kuwa yatakiwa kila sekunde binadam awe ktk ibada na si kusali, kufunga, hija nk ndo ibada pekee bali kila unachofanya ukifanye ukiwa na hofu ya kutomchukiza MUNGU bali kumridhisha. Hata hichi ninachokifanya kukuelimisha kuhusu ukweli wa kuchinja ni ibada na najichotea thawabu za bure toka kwako na wengine je, washirikiana nami ktk ibada?

Hili ni suala la kiimani tu ndugu yangu ambayo ina mitazamo tofauti ktk pande mbili hizi, kwani si lazima ibada yangu iwe ibada kwako pia.

Hivyo hoja ya kuwaunga waislam ktk ibada yao si sahihi kwa kuwa wewe huamini ktk ibada yao na ukisoma alichokiweka Mohamed Mtoi ni msaada mkubwa kutoka ktk kitabu unachokiamini, na ndicho hichi nilichojaribu kukuelimisha.
 
MZIMU jina lako linatosha kuamini kabisa alichozungumza Lusekelo. Unapata uhai kwa tukio hilo. bila kupata damu ya mnyama, hakuna uhai wako. Lusekelo hafundishi iman sahihi ya KRISTO, ana imani yake mwenyewe anajua anaowatumikia.

Chuki Binafsi.
 
Huna jipya pumba tuu ww na yeye.Kama waislamu hawakubali kula vilivyo andaliwa na wakristo kwanini kujipendekekwao? Kila mmoja achinje na ale kivyake , kama mnataka hivyo tusiishie katika swala la kuchinja tuu hata katika mengine tuwekeane mipaka.

Wazo zuri, hivyo ndivyo majuha wanavyo fikiria.
 
Haina noma, je nyinyi kuchinja ni sehemu ya ibada. Najua nyie ndio zao la pandikizi la chuki dhidi ya Uislamu. Tatizo la kuhudhuria ibada katika Makanisa Vitega Uchumi.

Elewa ndugu yangu, Ujinga wenu na chuki zenu nyinyi wakristo wachache italifikisha nchi pabaya. Tunaenda ni huku. Mabucha ya Halal Meat na Mabucha ya Nguruwe.Halal Hotel na Nguruwe Hotel. Halal Mama ntilie na Kitimoto Mama ntilie. Hiyo just to begin with.

Ndugu yangu, hata kama mimi ningekua Mkristo, ningekua nafanya Maamuzi kwa kuzingatia COST BENEFIT ANALYSIS.

MZEE WA UPAKO, MZEE PINDA NA MZEE STEVEN WASIRA MTAKUJA KUWAKUMBUKA NA KUSAGA MENO.


HUhitaji kuwa mkristo kufanya hayo, mnafiki mkubwa wewe!
 
Make a detailed analysis of the crisis. Usidandie katikati kwa vile amewatetea waislamu kuchinja. Umesikiliza upande mmoja, upande wa pili (those against) bado. Hivyo usitoe hukumu. Tafuta upande wa pili and then make a judgement!
 
Huyu tapeli upako ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Hajui kiini cha mgogoro huu! Anafanya superficial analysis of the matter!
 
Mkuu hilo ni jambo dogo sana, tatizo kubwa ni kuwa kuna upande unalalamika kuonewa kwenye kila anga muhimu kama ajira, elimu, MOu, na mfumo pia upande mwingine ukilalamika kuchafuliwa,kukashifiwa na baadhi ya watu na haya ndio yanazaaa mambo kama hayo ya kuchinja hayo tukiweza kuyatatua ndio tutasema amani haiwezi ingia dosari

Ni kweli, kua Sisi waislamu tume dhulumiwa sana tangu Mwalimu Julius Nyerere alipo amua kuwasaliti watu ambao walianzisha, wakafadhili na kusimamia Upatikanaji wa Uhuru wa nchi Hii. Lakini tulipata Uhuru akatugeukia kutuhujumu. Ref: KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA. By Dr.JOHN C.SIVALON. Matokeo yake ni hayo Dhuluma katika Elimu ref. NDALICHAKO na Timu yake. The rest is like dominoes.

Hakuna kashafa ya dini katika Mihadhara. Maaskofu walishaitwa ikulu pamoja na Mashekhe ili waeleze kashfa ipi wanayo fanyiwa. Ripoti zina sema wakaingia mitini. Kiufupi, Yesu sio Mungu, Mungu sio Watatu ni Mmoja n.k. Sio kashfa. Ndio Imani na Mafundisho ya Uislamu. Hata wewe ndugu yangu dancani, kwani hilo linahitaji Phd Kuelewa.

 
Jamaa mjanja sana, anasema hivyo kwa kuwa kuna waisilamu wengi sana wanaohudhuria kanisani kwake kupewa upako, hasa wakina mama, so ni aina fulani ya kuvutia wateja!

Huyu ni tapeli mchumia tumbo. Anawatapeli watu wenye matatizo ya uzazi, uhanisi, magonjwa sugu kuwa eti anawaponya. Aje mortuary awafufue wafu, nami tangu muda huo nitaiacha dini yangu na kumfuata. Lakini anaujanja wa kutumia coincidence ya matukio na matatizo ya watu. Kuna waislamu wengi wanaokwenda kwake na shida za uzazi!
 
Amerefer kitabu kipi? Anaongelea desturi na mazoea kwani mkuu hujui desturi yetu ni kuvaa vibwaya na magome? Kwani nani alitustua tukaacha nasasa tunajiona tulikuwa tuko nyuma ndio maana tukafanya tuliyofanya

Kumbe husomi thread vizuri, Ok. Alirifaa kitabu cha BIBLIA, Warumi 14: 1-31.
 
nini maana ya kuokoka wacha ubabaishaji hubiri injili inayotakiwa kwasababu utatoa hesabu siku ya mwisho kwa roho ulizokabidhiwa na si kuhubiri watu wakupende kwa sababu unawaambia maneno yanayowafurahisha uwe kama kama mikaya ambaye alihubiri kweli kweli mbele mfalme bila kujali manabii wengine wa uongo wetabiri uongo ole wenu watu wote watakapowasifu

Maskini Mmesha anza kulewa Mahubiri ya Chuki, Hamtaki kuwasikiliza ten wanaohubiri Upendo na Amani. Kizazi cha pesa za sadaka.
 
Ni juzi tu alitumia muda mwingi kuwaponda wenzie wanaojiita mitume na nabii. Hii ina maana kwake yeye kuwa mkristo ni lazima umfuate yeye mzee wa upako au TRANSFORMER. Nahisi maneno yake ya jana yanatokana na woga ili asije akashushiwa kipigo na hao jamaa wa kuchinja. Si umesikia akilalamika kuwa waumini wenyewe wakihudhuria kwenye kanisa lake wakiwa wengi ni 200. Sasa si unajua hapo akishishiwa kipigo si watahama wote na income yake itayumba. Ni muhimu atambue kuwa wengi wape. Kwa maana kwamba wale wakristo walio wengi ambao yeye hawatambui si wajinga. Eti anajaribu kutoa definition yake ya kafir kwa kunukuu vitabu. Kimsingi kafir ni mtu ambaye si muislam akiwemo yeye. Mategano haya yameanza tangu enzi na enzi. Hivi si tujiulize mbona wao wana makaburi yao na mkristu hazikwi pale. Lakini makaburi ya wakristu yeyote anaweza kuzikwa hakuna makatazo.Hivi CD na DVD ambazo serikali iliruhusu zisambazwe na waislamu kukashifu ukristu Lusekelo hana habari nazo? Ni vizuri tutambue kuwa Wkristu nao ni binadamu wana hisia ambazo zikiguswa pabaya zitalipuka.
 
huyu si mfuasi wa Yesu ni mfanyabiashara wa injili, mkristo wa kweli hawezi kula nyama iliyotolewa sadaka kwa shetani, shwari la kujiuliza ni nani shetani kati ya Yesu na allah ?
hivi wewe una imani kuwepo YESU tuu au uwepo wa MUNGU na YESU?maana ALLAH ndiye MUNGU
 
HUhitaji kuwa mkristo kufanya hayo, mnafiki mkubwa wewe!

Sijasema Wakristo wote ndugu yangu. Mbona wewe mchochezi??. Ume highlit sentensi yote Ukaacha neno Wachache.

Kizazi hiki cha chuki kitaangamiza taifa.
 
Unasema wewe sio Mkristo alafu unadai anawakilisha imani sahihi ya ukristo, ni kwa sababu anapinga swala la nani achinje au vipi?

Waislamu wengi tunafuatilia kwa karibu mafundisho yenu. Kuna wachungaji wanaohubiri mafundisho mema kwenu kama Mzee wa Upako na Mchungaji Kakobe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom