Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,500
- 151,728
Msikilize Chairman Mao kuanzia dakika ya 6 hapo. Kwanza anadanganya kusema kwenye nchi za wenzetu chanjo ni lazima, nchi gani hizo?Waisoma wapi shuruti mkuu?
Weka muziki wacha maneno.
Msikilize Chairman Mao kuanzia dakika ya 6 hapo. Kwanza anadanganya kusema kwenye nchi za wenzetu chanjo ni lazima, nchi gani hizo?Waisoma wapi shuruti mkuu?
Weka muziki wacha maneno.
Nisiache kukupa pole wakati nikikukumbusha haya niliyoyasema mwanzo kabisa ili tuweze kufahamiana:Sawa....ila huenda nahitaj kudukua vzur zaid......maana kama ni hvyo...yaan antibodies znazotokana na kutengenezwa naturaly na mwil baada ya wadudu kuingia huwa znakua za mda mfupi huo wa 5month na zile znazotengenezwa baada ya antigen zilizoingizwa kwa sindano ndio znaish mda mref etc etc...inaweza ikawa kwel...au pia si kwel..
Na unaongeleaje kuhusu variants wa hyo covid19...inamana itatuhitaj kirus kikibadilika tu tuchomwe tena antigen wake..sasa tutachoma mara ngap?maana mpaka sasa huyo kirus keshabadilika sanaa...kwann hzo chanjo wasichomwe watu dhaifu..yaan wazee...wenye magonjwa ya mda mref etc etc...sis wazima wenye afya tuachwe na miil yetu itengeneze kinga yenyew....kwan kuna ubaya gan.watu tushaumwa na kupona na tuko fit mpaka leo..tatzo ni nin wao kutaka fanya ulazima kwa watu.
Bila shaka ugunduzi wako ni kama wa babu Loliondo aliyegundua kinga na tiba ya Corona ya jero kwa kuota ndoto tu.
Hii ndiyo Tanzania ya viwanda na madini tuliyorithi tokea awamu ile.
Eti kuwa wagunduzi wenyewe na wewe umo 😂😂😂😂😂!
Hiiiiii bagosha.
Hivi mkuu brazaj ndipo umemgundua leo. Mbona sie tulimjua tangu anahangaika na barabara za Rusumo, ni mpuuzi hakuna mfano huyu mrundiNimegundua mtoa mada ni kichwa dafu hopeless kabisa
Wewe chukua familia yako kaichanje man1na
corona ni hatari sana imetugawanyisha
Msikilize Chairman Mao kuanzia dakika ya 6 hapo. Kwanza anadanganya kusema kwenye nchi za wenzetu chanjo ni lazima, nchi gani hizo?
Nimekuuliza nchi iliyolazimisha chanjo ni ipi?Nimeisikiliza hotuba yote ya Mh. Mbowe. Mwili umenisisimka sikuwa nimeisikia kabla.
Katika hotuba hii, sioni popote ambapo ina tatizo lolote na mtanzania yeyote.
Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na wengine wanakufa nchini kote? Kwamba wahanga hawa wanalazimika kujigharimia wenyewe kwa ajili ya matibabu yao dhidi ya ugonjwa huu na kwenye bei anazozielezea mheshimiwa huyu mwenyewe akiwa shahidi?
Kwamba msimamo wa serikali ya awamu ile ulikuwa ule tulioujua, na hali ya msimamo wa serikali hii ni huu tunaouona sasa?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mkuu, kwamba ulipo wewe labda hata umekwisha pokea chanjo, na sasa ndiyo kuwa tatizo lako hapa ni kuwa tu, eti kwamba:
"Kwanza anadanganya kusema kwenye nchi za wenzetu chanjo ni lazima, nchi gani hizo?"
Seriously?!
Au ni kuamua kutucheza shere tu sisi tulio wahanga wa moja kwa moja wa hili janga?
Acheni basi kutucheza shere....!
Ni vizuri ukafahamu kama ulikuwa hujui, sisi tunaokabiliwa na hatari ya wazi ya kifo kutokana na ugonjwa huu tunakubaliana na hotuba ya Mbowe kwa 100%.
Kiufupi ni kuwa, asiyekubaliana na hotuba hii atakuwa labda kama kesha pokea chanjo, hayupo hapa nchini, au ni ile kuwa na uelewa mdogo.
Uelewa mdogo hapa nao ni bila shaka kutokana na upotoshwaji mkubwa kutoka awamu ile kama anavyosema Mh. Mbowe.
Haiyumkiniki mwenye matatizo na hotuba ya Mbowe aliyeko hapa nchini nchini, bila shaka atakuwa pia ni muumini mwaminifu wa yale mambo ya nyungu, mikaratusi, michai chai, malimao, na yale matango pori mengine.
Haiyumkiniki pia muumini huyo atakuwa alipo yuko safarini kuelekea Loliondo kwa babu kwa ajili ya tiba na kinga timilifu tokea kwa babu akiwa na jero lake kibindoni.
Bila kujali wewe binafsi ulipo, nisiache kukuitisha japo kuwa angalau na utu au ubinadamu kidogo, ukayatambue madhila na magumu ya wazi wanayoyapitia wahanga wa ugonjwa huu chini ya tawala hizi zisizokuwa na chembe ya huruma wala kuwajali wananchi wake.
Ninapendekeza kuipandisha clip ya hotuba hii kama uzi kamili ili wengi waweze kuiona.
Ninaelewa sasa kuwa kumbe makelele haya ni ya nini? Kumbe itakuwa ni jitihada zile zile za kuyafunika mengi ya msingi yaliyomo kwenye hotuba ya Mh. Mbowe.
Si mbaya mkajua kwa mara nyingine kimedunda!
Wakuu Erythrocyte BAM Salary Slip technically Missile of the Nation @extroverts ni vizuri upande uzi wenye hotuba mheshimiwa Mbowe kama uzi kamili.
Hapa kuna mkakati ulioshindwa wa kuifunika hotuba yake hii kuielekeza kwenye yasiyo na chembe ya maslahi kwa nchi hii.
Nimekuuliza nchi iliyolazimisha chanjo ni ipi?
Hujajibu.
Wamarekani waliotengeneza chanjo hawalazimishi chanjo.
Unafikiri wao ni wajinga?
Kwani wewe utakuwa wa kwanza kufariki?? Hizi chanjo ni hatari hivyo ni kheri watakaosalimika bila kuchanjwa waendeleze vizazi wakiwa na immune system imara na sio kudungwa hii michanjoMimi ni mhanga mtarajiwa wa wazi wa upuuzi unaoendelea hapa. Naweza kugeuka mfu dakika yoyote kwa sababu ya watu hawa. Unaniuliza ya wamarekani? Give me a break!
Wewe ulipo si umeshanjwa?
Ulipo wewe Corona haikuhusu. Ama kweli hawakukosea waswahili waliosema mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la sufu(Sufi). Tuko kati ya janga wewe unadhani we are enjoying ourselves?! Tunapambana wenyewe kwani hata kuna hata tulichowaomba?
Iko wapi shida kwenye speech ya Mbowe kwa nchi hii?
Acheni unafiki huku nyie mkiwa salama.
Hatuko wajinga kiasi hicho.
Kauli za Mkiti sikuhizi
Mhhh
Kwani wewe utakuwa wa kwanza kufariki?? Hizi chanjo ni hatari hivyo ni kheri watakaosalimika bila kuchanjwa waendeleze vizazi wakiwa na immune system imara na sio kudungwa hii michanjo
EEti Chairman Mao?🤣🤣🤣 Yule mchina aliacha mamilioni wanakufa kwA njaa huku yy akizunguka nchi na pleasure squad iliyoundwa na vigori
Nonsense!Mimi ni mhanga mtarajiwa wa wazi wa upuuzi unaoendelea hapa. Naweza kugeuka mfu dakika yoyote kwa sababu ya watu hawa. Unaniuliza ya wamarekani? Give me a break!
Wewe ulipo si umeshanjwa?
Ulipo wewe Corona haikuhusu. Ama kweli hawakukosea waswahili waliosema mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la sufu(Sufi). Tuko kati ya janga wewe unadhani we are enjoying ourselves?! Tunapambana wenyewe kwani hata kuna hata tulichowaomba?
Iko wapi shida kwenye speech ya Mbowe kwa nchi hii?
Acheni unafiki huku nyie mkiwa salama.
Hatuko wajinga kiasi hicho.
Msikilize Chairman Mao kuanzia dakika ya 6 hapo. Kwanza anadanganya kusema kwenye nchi za wenzetu chanjo ni lazima, nchi gani hizo?
Watu wanaogopa kufa ilhali wanajua watakufa.Acheni ukuda wenu.
Mimi nikifa wewe unaumia nini? Lazima lazima ndio sitakufa au?
Acheni mambo ya ajabu bana. Hata wakisema leo lazima, sichanji ni bora waniue kuliko kuchanja.
Et unachanja kisa li ugonjwa la kutunga. Ujinga bana. Nikichanja then what? Sitaumwa? Sitakufa? I fear nothing to die when right time comes..
Mkuu unamuonea tu,uwezo wake wa kupambanua mambo ndio ulipofikia na kwa upande ule yeye ndo akili kubwaNonsense!
Umeulizwa nchi gani inalazimisha chanjo?
Umebaki kuhara tu.... manenoo meeengii... upuuzi mtupu!
Chakula kinaliwa kila siku ingawa watu watakufa.Watu wanaogopa kufa ilhali wanajua watakufa.
Na wapo walochanjwa na bado wamekufa kwa mambo mengine
Mkuu kama kula hata miti inakula,kama kutibiwa hata mimea na wanyama hutibiwa.Chakula kinaliwa kila siku ingawa watu watakufa.
Watu hutibiwa hospitalini mara kwa mara ingawa watakufa.
Kifo hakiwafanyi watu wagome kula ama kwenda kutibiwa hospitalini.
Ni ujinga tu, tena wa hali ya juu ndiyo ambao unaweza kuwafanya watu wagome kula ama kutibiwa eti kwa sababu hata wakila ama kutibiwa bado watakufa.