Godbless lema(mp).
wasiwasi wako tu mkuu, mchango wako utafika kwa wahanga.....
Mwenyewe bado hajamaliza kuclear madeni ya uchaguzi , michango iende moja kwa moja kwenye family kwanza walipata za kuwatosha uu umatonya ni kwa maslahi ya nani?hapo ndipo kwenye utata..mangi na pesa.
lengo ni kuwasaidi majeruhi pamoja na yatima...kama wasiwasi wako pesa utakayo toa unaweza kufika Mount meru/ukaenda kwenye familia husika ukatoa msaada wako....sawa mkuu, lakini kwanini kuchangishana kwani wanadai fidia? kutakuwa na mekanizim ya kuoditi haya mapato?
Anadaiwa bei gani?, na kosa mtu kudaiwa bona Tanzania inadaiwa na Rostam Aziz zadi ya bil 94, itakuwa ajabu Lema kuwa na madeni!?.... unaruhusiwa kupeleka mchango wako moja kwa mojaMwenyewe bado hajamaliza kuclear madeni ya uchaguzi , michango iende moja kwa moja kwenye family kwanza walipata za kuwatosha uu umatonya ni kwa maslahi ya nani?