Changia wahanga wa maafa ya arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia wahanga wa maafa ya arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Jan 18, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Changia wahanga wa maafa katika maandamano ya amani arusha. Tuma mchango wako kwa m-pesa 0753 444 443, zap 0688 111 161 na tigo pesa 0659 173 663 au fika ofisi ya mbunge.
  Changia kiasi chochote kitasaidia.
  Godbless lema(mp).
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo kwenye utata..mangi na pesa.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wako tu mkuu, mchango wako utafika kwa wahanga.....
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu, lakini kwanini kuchangishana kwani wanadai fidia? kutakuwa na mekanizim ya kuoditi haya mapato?
   
 5. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mwenyewe bado hajamaliza kuclear madeni ya uchaguzi , michango iende moja kwa moja kwenye family kwanza walipata za kuwatosha uu umatonya ni kwa maslahi ya nani?
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Serikali ifidie kwani si kuna tume ya maafa chini ya waziri mkuu?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  lengo ni kuwasaidi majeruhi pamoja na yatima...kama wasiwasi wako pesa utakayo toa unaweza kufika Mount meru/ukaenda kwenye familia husika ukatoa msaada wako....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wako bize na madeni ya dowans, UDOM, DUCE
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anadaiwa bei gani?, na kosa mtu kudaiwa bona Tanzania inadaiwa na Rostam Aziz zadi ya bil 94, itakuwa ajabu Lema kuwa na madeni!?.... unaruhusiwa kupeleka mchango wako moja kwa moja
   
 10. V

  VKEY Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali itatuzoea, jambo la msingi ni kujenga hoja za kuibana serikali iwahudumie watu hawa mambo ya kuchangishana kila cku wataona ndo mpango mzima kuwapiga piga raia wasio na hatia then hao hao raia wanyonge tuchangishane kutibu majeraha. Ni upuuzi na inauma sana.
   
Loading...