Changia Mabadiliko Chalinze

Wazee wa Buku saba nasikia imefika kumi, kumbukeni kushindana nampango wa Mungu ni mbaya, mtakuja ulizwa haya
 

Hii haikubariki.
Huu ni utaperi.
Wandugu mchaga katumwa hela.
Chadema imeshapoteza mvuto kwa wananchi mmeshajulikana janja yenu ni kutumia udhaifu wa raia na kuwapora wananchi wanyonge kwa style hii.
Unaibia wananchi
 
Last edited by a moderator:

Umesahau Mbowe kamrithi nani? Mkwewe. Tena bila uchaguzi. Isitoshe, unajuwa Joisi kwanini yupo pale bungeni kwa upendeleo? Isitoshe, kama huelewi unachokisoma basi hata picha huoni? Hawa chini, kina dada, mtoto, mkwe, mpwa, walichaguliwa na wananchi gani? usimsahau yule aliyebadilishwa safari ya kazi akiwa njiani New York akapelekwa Dubai kula bata.


















Kumbuka Chalinze kuna mchakato wa kura unaendelea:
 
Hii haikubariki.
Huu ni utaperi.
Wandugu mchaga katumwa hela.
Chadema imeshapoteza mvuto kwa wananchi mmeshajulikana janja yenu ni kutumia udhaifu wa raia na kuwapora wananchi wanyonge kwa style hii.
Unaibia wananchi

Ebu tulia basi kijana,nini unahangaika? Tutachangia kwa hali na mali mpaka kieleweke.
 
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?

Wewe inakuhusu nini kama si kiherehere cha kikwapa! Mzigo ubebwe na kichwa, wewe utoe jasho! Hujawahi kuchanga na huwezi kuchanga. Hapo unaganga njaa Lumumba ukisubiria malipo ya buku saba. Acha wenye moyo wanajitolea bila wasiwasi!
 
wewe mini-kabang (lema) na mleta mada mnafanana upeo wenu, ila kwa hili la kuchangisha lazima Lema aje charinze hapo mmemkuna penyewe mpiga deal.

Post ya kipuuzi kabisa! Kweli unapojiweka upande wa lumumba lazima uwe chizi!!! Akili za kikameruni zinaonesha kabisa kwamba ukitoka lumumba unaenda kutega lango la jiji!
 
Mtaa wa congo umehamia jf wizi wa m hana huu unatoka wapi? Eti changia siku zote ulikuwa wapi? Ukiona nchi ina vita juwa ni kipindi ambacho pesa uhamishwa sana katika nchi husika kwenda ughaibuni, sasa technic hiyo matapeli wanataka kuitumia kuwatapeli wenzao, anachangisha kwa kibali cha nani? Kwani ziende kwa mtu binafsi? Hamkeni.
 


Huna hela ya kuchanga wewe hivyo kaa kimya, mchango ni wa hiyari huu.... Watachangia wapenda mabadiliko wewe tupishe.. Endelea kulamba wenzio miguu huko! Mxiiiiiiiiiu
 
Vipi zile alizojikopesha amesharudisha?

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Ukiona mwanaume mzima anaongea umbea jua ana tatizo mahali, jikague wewe... Ushaharibiwa kitambo sana
 
Post ya kipuuzi kabisa! Kweli unapojiweka upande wa lumumba lazima uwe chizi!!! Akili za kikameruni zinaonesha kabisa kwamba ukitoka lumumba unaenda kutega lango la jiji!

Filipo huyo anaitwa MSALANI kwe kwe kwe kwe kwe
 
Last edited by a moderator:

Mungu anawaumbua.
 
Huna hela ya kuchanga wewe hivyo kaa kimya, mchango ni wa hiyari huu.... Watachangia wapenda mabadiliko wewe tupishe.. Endelea kulamba wenzio miguu huko! Mxiiiiiiiiiu

Yaani unajiita sweet halafu uko kwenye mtandao wa matapeli! Badilika wanatafuta pesa kiugumu wenzenu.
 

Nna uhakika wewe ni mfanyakazi wa kile kiwanda...

Kwi kwi kwi teh teh teh

...Cha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…