Changia Mabadiliko Chalinze

Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!

za wanyama wetu na za sembe cdm ni mwiko huelewi?
 
Tunashukuru sana kwa kuweka utaratibu mzuri kama huu, tupo pamoja makamanda, tusaidie ukombozi wa kifikra uenee Charinze.
 

Mpaka sasa tumepata 40,000 tu. Makamanda mnatuangusha. Badala ya kuchagia ukombozi ninyi mnatoa matusi tu.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi harufu za Wizi sasa Agnes Bela ndio nani? Crashwise? Duu chagadema mnaleta hata uchaga kwenye mambo ya msingi!

Kweli wajinga ndio waliwao!
 
Wizi mtupu tena sasa tunakoelekea sasa ni balaa! Chadema tunawapa kodi zetu lakini cha maana hatukioni maana hamna mtandao wa uongozi kila wilaya au kata na vijiji! Sasa hiyo ruzuku zaidi ya mil 300 kila Mwezi mnapeleka wapi? Acheni kuwanyonya wananchi, pia kwenye mikutano yenu munafanya changizo!
 
Nahisi harufu za Wizi sasa Agnes Bela ndio nani? Crashwise? Duu chagadema mnaleta hata uchaga kwenye mambo ya msingi!

Kweli wajinga ndio waliwao!
Usikute ni mpango wa kumchangia kiburudisho
 
ruzuku ya chama imeenda wapi.mpaka mtuchangishe?

Kwan wewe si upo ACT au umeshatusaliti? Act inapendwa sana na kwa kuwa sisi act hatuna ruzuku ndo tunatakiwa tuchangiwe. Weka number tukichangie chama chetu cha act. Act hoyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…