Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,130
- 2,762
Kuna matatizo yanatokea. Na haya matatizo yanawahusu Waafrika kama sisi ambao wapo katika diaspora. Matatizo yao tunapswa kuyaona kwamba ni matatizo yetu.
Na tunapaswa kuona maumivu katika maumivu yao.
Nazungumza kuhusu kashfa inayolipuka kuhusu msanii Puff Daddy, Nabii T. D. Jakes.
Na wengine wengi,Jay Z,Will Smith.
Ni Waafrika wenzetu. Tuwaombee rehema za Mola.
Mambo yenyewe ya ovyo. Siyo mambo ambayo unaweza kuyachunguza kwa kina. Ni mambo ya kutazama tu mara moja kujua jambi gamo linaendelea.