roservelt
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,418
- 1,510
Za mikoa ipi iyo mkuuMm kila shule nilochagua nipo alone
Za mikoa ipi iyo mkuuMm kila shule nilochagua nipo alone
Naomba uitaje au weka screenshot ya hizo shule ulizoombaMm kila shule nilochagua nipo alone
Kuna jamaa mmoja alikuwa anashangilia, km wewe hakujua kwamba ukishaomba husipobadilisha shule wanakuonyesha idadi ya walioomba wakati uliposave, Ila uki edit nakuchagua shule nyingne watakuonyesha namba mpya ya waombajiiMm kila shule nilochagua nipo alone
hakuna haja hata ya ku-edit, asubiri ifike deadline ndo aseme yuko pekee yake mana unaweza kukuta hy siku mpo kama 100+ mana kila muda watu wanaongezekaKuna jamaa mmoja alikuwa anashangilia, km wewe hakujua kwamba ukishaomba husipobadilisha shule wanakuonyesha idadi ya walioomba wakati uliposave, Ila uki edit nakuchagua shule nyingne watakuonyesha namba mpya ya waombajii
Vp umeshaona idadi ya watu ulioomba nao ajira ya ualimu.?
Wabongo kwa ujuaji tuko vizuri. Ulivokuwa unaparamia comments zangu nikajua mtu wa maanaMimi sio mwalimu, nimeomba AFYA kupitia WIZARA…. huku TAMISEMI bado najishauri.
Tulizeni akili, kuna mtu amesoma saut nimemfanyia na nimemaliza.Kwa mfumo unawatema Walimu waliosoma SAUT wanakosea wapi wakifika kujaza taarifa za chuo. MSAADA KWAO Tafadhali. Au Kama Kuna mwanaSAUT alifanikiwa Amefanyaje????
Sio kwa nia mbaya ila kuna watu watashindwa kuomba nafasi kwa uzembe wao then watakuja kuilaumu mfumo, mmoja wapo n ww.Hivi kwa arts subjects wanaombaje MSINGI?maana wameelekezwa sec?
Mtandao unasumbuaaaaDuuh oteas
Ukiangalia machaguo shule za secondary registration no. zinaanza na S. (Secondary) na za msingi zinaanza na EM.(Elimu Msingi)Hivi kwa arts subjects wanaombaje MSINGI?maana wameelekezwa sec?
sina majibu ya moja kwa kwa moja ndugu yangu kasome tangazoMsaaada: je school laboratory techincian wanaruhusiwa kuomba ajira????
Na kwa utaratibu upi msaada?
ndio inawezekanaukishakamilisha maombi yako unaweza kuondoa shule ulizojaza na kuweka nyingine?
Msaada nikingiza namba ya form six inaniandikia hivyo shida ni nini na sijakosea kitundio inawezekana
Wabongo kwa ujuaji tuko vizuri. Ulivokuwa unaparamia comments zangu nikajua mtu wa maana.
Rubbish spermsMwalimu ushaanza jeuri na bado hujapata, acha madharau mlamu…. oops sorry kumbe unakesha kuwaombea watu tu.
ulifaulu vizuri kweli...?????Msaada nikingiza namba ya form six inaniandikia hivyo shida ni nini na sijakosea kituView attachment 2200914
ngumu kumezaJaman msaada wa chuo chochote chenye course iloandikwa 'certificate in primary education'