Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Kila kipengele ukijaza kikikamilika inasoma asilimia 100% ..kipengele cha viambatanisho vingine ndo sijaweka barua inasoma 50%
Ase mkuu nisaidie hap kidogo..hivi ukijaza hivyo ukaacha then baadae ukija kuingia kweny account yako ili uendelee..mbona hairespond kukupa mwendelezo ili uendelee kuingiza taarifa zako! Mm natumia cm lakn, au wenda ndio tatizo. Nisaidie plz
 
Ivhi watu wa certificate in primary education
Pale kwenye course ndo basic technician in primary education??
 
Ase mkuu nisaidie hap kidogo..hivi ukijaza hivyo ukaacha then baadae ukija kuingia kweny account yako ili uendelee..mbona hairespond kukupa mwendelezo ili uendelee kuingiza taarifa zako! Mm natumia cm lakn, au wenda ndio tatizo. Nisaidie plz

Unaendelea ulipoishia au network labda haikua sawa
 
hivi haya maombi tunayotuma huwa wanayapitia yote kweli maana idadi ya watu wanaoomba ni wengi kishenzi
 
Back
Top Bottom