Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mkuu
Veta wanasimamia NTA Level 1-3
Nacte 4-6
Tcu 7-..

Certificate na diploma inasimamiwa na Nacte "baraza la mafunzo ya ufundi"
Na sio Necta "baraza la mitihani".
kijana vyuo vyote vya ualimu cheti na diploma wako chini ya NECTA, sio NACTE vyuo vingine ndio NACTE
 
skiliza dogo, vyuo vya elimu kati na cheti viko chini ya NECTA, Vyuo vingine vya kati wako chini ya NACTE, , Unachokataa n kipi sasa
Yess ndivyo nnavyomanisha kaka nazan tumepishana kidogo nlikuwa namjibu huyo jamaa alekataa kwamba hivyo vyuo haviko nacte
 
Mbona somo la economic lipo nanimeliweka. Tatizo mna papala kama mnakimbizwa yani, uvumilivu kwenu nichangamoto ndomana ngozi nyeusi tumelaniwa.
Mjibu vizuri mwenzako, somo la Economics wengine halionekani. Mfano mtu mwenye Somo la Mathematics na Economics anaona Mathematics peke yake hata mwenye History na Uchumi anaona History peke yake. Inategemea amechagua Biashara,Sayansi au Sanaa. Watakuwa wanarekisha mfumo ili kuwezesha wenye masomo tofauti Kama hayo hapo juu.
 
Leo naona hakuna network kabisa. Shida nini.? Maana Nina log in since morning imegoma kabisa.?
 
Yani bora kuomba mapema ukisema utaomba tarehe 3 au 4 unaweza kulia machozi ya damu kama mambo ndo aya mfumo haufunguki kabisa leo na mimi nilishajaza taarifa zote 100% toka juzi ilibaki ku attach tu barua
 
Yani bora kuomba mapema ukisema utaomba tarehe 3 au 4 unaweza kulia machozi ya damu kama mambo ndo aya mfumo haufunguki kabisa leo na mimi nilishajaza taarifa zote 100% toka juzi ilibaki ku attach tu barua
ASilimia inakujaje mkuu wakati barua bado haujapandisha....!!!!!
 
Back
Top Bottom