Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Bado neno "jisajili" halipo
Umeona hayo maneno hapo ...mwisho kabisa Kuna maneno 'Bofya hapa jisajili' ....unabofya tu afu unaendelea
Screenshot_20220422-225734.jpg
 
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.

Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Mkubwa Samahan...Hapo kwenye mwaka wa kumaliza chuo ulifanyaje maana kwangu hapa imetulia tu na siwezi hata kuandika huo mwaka?...
Screenshot_20220423-001543.jpg
 
Nataka kubadilisha attachment ya cheti Cha kuzaliwa kwenye taarifa binafsi, nafanyaje wakuu au ndo imekula kwangu mana nimekosea
Kwenye attachment ya cheti Cha kuzaliwa nimeweka cheti kingine
 
Nimechagua elimu..ila kwa profile wanaleta categories za afya. Na sioni sehemu ya ku edit kurudi nyuma. Kama kuna mtu kakutana na challenge tafadhali.
 
Kwa mtu aliyemaliza Bachelor of arts with education pale Mwanza St. Augustine University of Tanzania.
Sasa nashindwa kuandika pale kwenye taarifa za chuo naomba msaada wenu. Mana kwenye college sielewi nikiweka jina la chuo kwenye course hakuna bachelor of arts with education
 
Back
Top Bottom