Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Hapa tatizo ni nn wakuu..?...
Nataka nitengeneze account
Screenshot_20220422-132925.jpg
 
Kuna hiki kipengele nimekiwekea mshale. Hakikubali kuendelea.
View attachment 2196532



Ubaya wake ni kuwa bila kukikamilisha huwezi kuendelea mbele ku upload vyeti. sasa sina hakika kama ni mimi tu au kila mtu akijaribu anakwama hapo kama mimi
IT....wa bongo hiyo kutatua itachukua siku mbili haki vile....kila siku tunaanza upya mbona ajira portal haina majanga kama hayo...
 
Back
Top Bottom