Changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni

Changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni

kama una uwezo wa kumuhudumia bas unaweza ukawa unamtembelea ata mara mbili kwa mwez then baada ya kumzoea na kumjua vema ndo utaamua kumpa au usimpe lakin kama hamuonan ndugu usikute unatoa hela za kumuudumia mwanaume mwenzio kuwa makini
 
hahah sasa inakuwaje kumuita mpenzi wako na wen it feels kabisa kama mpo na r,ship. kuwa specific nae..sio mna complain koz umeombwa hela coz unahis humuamini but uko comfortable kumuita mpenzio japo humuamini.... how is that?!
 
Kumpa hela si tatizo, ila mtu unapaswa kujiuliza, kabla hujaanza uhusiano nae alikuwa akimuomba nani? Huyo anaeombwa ni wa wapi; Mtandaoni, jirani yake, mwanafunzi mwenzie, mfanyakazi mwenzie au nani? Alikuwa akiomba kwa arrangement ipi? Je ukimnyima hatarudi huko alikokua akiomba mwanzoni? Je kama alikokuwa akiomba mwanzoni, alikuwa akiomba kama mpenzi, je arrangement itarudi vilevile? Mahitaji hayaishi na pia kuwa mwangalifu, utajikuta unahudumia dume lenye familia.
 
Ndugu Kuna mtandao Japan ulikuwa na watu 2million..wakaja kugundua Kuna only one woman...usiamini saaana mitandao.mtaani waschana kibao mbona.trend zingine azifai kuiga
 
Kwa sababu nayeye yupo umu atakujib... Acha kua mbahili
 
Umesema vzur good idea to you mkuu!
julius caesar

mmmmmm! J Subiri kwanza uniijibu sio tunatoa ushauri kumbe mtu mwenyewe ndo ivo tena. Kutoka rohon sema hela iyo unayo???? Maana sion tatizo ungemtumia hata laki then ukaja hapa kuomba ushauri. Mtu mtoaji awezi lalamika kabla hajatoa. Kwanza mtumie then rudi hapa
 
Last edited by a moderator:
Aiseee kuna viumbe wa ajabu hii dunia hivi mtu unaanzaje kuomba omba hela ovyo
Siuache tuu mwenyewe akuhudumie kwa jinsi moyo wake unavyopenda.
Aisee wadada wenzangu wenye hii tabia tuache aisee tunajiaibisha sana hatujui tuu.
Ila wanaume nanyi mtekeleze wajibu wenu kwa kuwajali wapenzi wenu mnapenda vizuri lakini kugharamia hamtaki.
 
Usitume, huyo atakuwa msanii. Kwani haiwezekani mtu hamjaonana kwa luwasiliana tu, akuombe pesa! kwanza onana naye, tena piga kabisa! ndiyo unaweza mpa pesa.
 
Kwa Mtazamo Wako Hujakosea Bt Unapotoa Si Kwamba Unamuhonga Au Vp! Bt Ni Njia Tu Ya Kusaidiana Na Si Kufikiriana Vibaya Ila Kama Unampenda Na Una Malengo Nae Unaweza Kumsaidia Kama Akiwa Na Shida Na Je Kama Angekwambia Amelazwa Na Hana Pesa ya kujiuguza Na ww bado Hujamuamini Kiasi Hicho Ungefanyaje?!
zote ni changamoto za mapenz kijana mwenzangu
 
Aiseee kuna viumbe wa ajabu hii dunia hivi mtu unaanzaje kuomba omba hela ovyo
Siuache tuu mwenyewe akuhudumie kwa jinsi moyo wake unavyopenda.
Aisee wadada wenzangu wenye hii tabia tuache aisee tunajiaibisha sana hatujui tuu.
Ila wanaume nanyi mtekeleze wajibu wenu kwa kuwajali wapenzi wenu mnapenda vizuri lakini kugharamia hamtaki.

huwezi jua maybe amekwama na hana msaada wowote zaidi yake
 
Back
Top Bottom