Changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni

Changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni

Mkuu hebu jaribu kumpima kwa kumuambia hauna hela atakavyo react ndipo utajua MTU Wa aina .. Jaribu kumnyima Mara kadhaa kwa kumpa excuses ambazo ni za maana na somehow zina ujweli kijamii.... Akiwa mvumilivu basi ni mwema huyo ...
 
Ulishawahi kujiuliza nini matokeo ya kuomba uchumba,urafiki nk. Kwenye mitando? Kama jibu ni ndio ulichokiomba ulikipata namazingira ya kuanzisha mahusiano katika mitandao ndio hayo, ikiwa kamaulifikiria mara mbili basi kubaliana nalo. Pili kama ulitamani mahusiano yakoyawe ya kuonana uso kwa uso usingetumia social media kuomba mahusiano. Sasaumempata umtakae.


Mtu ambaye hujaonana nae na unamuhofia unawezajekuanzisha mahusiano nae ya kimapenzi ? Kama utasimamia matamshi yako binti huyoulimwadaa kama sio kumrubuni nae akakuamini kiasi cha kukuomba umtimiziemahitaji yake ikiwa ni pamoja na noti! Sasa unashangaa ni nini? Toa noti.

Mtu ambaye moyo wako uradhi dhidi yake bado unamuhofia nakushindwa kusaidia njuluu kiasi za kujikimu!
Anasitahili kutokana na mazingira uliyomjengea tokamwanzo si unampenda why don’t you help her now! Kwani shida alizonazo sasa naatakazo kuwanazo baada ya kuonana nae ni tofauti au ndio zitakuwa genuine kamafungu lipo mpe tu anashida.


Ushauri mzuri huu....
 
Hio changamoto uliyoipata mkuu ni kushukuru mungu at least hilo ni dogo..you can solve it!!!

Otherwise kuna baadhi ya changamoto yaani ni case studies, wenyewe wanaziita social engineering.

Kwa ufupi features za uhusiano wa ki social media, huwa wale wahusika wana kuwa na double personalities, wanakuwa na layers kibao na inachukua muda kumjua, wanakuwa ni wa na wana siri nyingi mno na mostly ni za kuumiza.

Ushauri wangu ni kwamba kama umempata mwenza via social media please fanya faster kumjua au kumwona then process zingine zitafuata.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako!

Usitume pesa, atakupenda kwa pesa tu we mkaushie sikumoja nenda bila kumwambia na kuifika mshtukize hodi omba maji omba kupumzika kidogo, mpigishe story bila kujitambulisha, umuone, omba namba za sim uone kama atakupa hapo ondoka na umuite ulipo mtaa wa pili, akijatu nijulishe ili nikushauri
 
Waleta mada wengi mnafikiria kwa kutumia makalio
Mademu wote mpaka mtandaoni kwanza wanatumia avat sio zao na picha hata umri
 
kama umempaenda mtu hujawahi muona vile vile toa hela. huwezi sema huwezi toa hela kwa mtu hujamwona huku wewe unasema umempenda sana itakuwa utoto. funga safari nenda onana nae usikute wala sio type yako afu ushasema umempenda. Na kuhusu kuomba pesa hilo ni tatizo kwa msichana smart angekuona kama rafiki wa kawaida hawezi kukuomba pesa na kuona wewe ni kama mpenzi wake through simu tu. Nyote itakuwa vizibo mmekutana
 
Back
Top Bottom